Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

971 results for Oscar Oscar :

  1. Serengeti Boys kuanza na Nigeria

    Timu ya vijana ya U-17 ya Tanzania itafungua dimba la Fainali za Afrika dhidi ya Nigeria Aprili 14 mwakani.

  2. Hawajapoa mastaa Ligi Kuu wanavyotesa FDL

    Timu za FDL zimewasajili nyota hao ikiwa ni sehemu ya mkakati wa klabu hizo za Ligi Daraja la Kwanza kujiimarisha ili kupanda Ligi Kuu

  3. STRAIKA WA MWANASPOTI : Wakongwe kurudi dimbani, inasaidia kuinua soka

    LIGI Kuu ya wachezaji waliostaafu nchini Kenya msimu wa nne ilifikia kikomo juzi Jumapili Jijini Kisii baada ya Tusker Wazee FC kushinda taji hilo kwa mara ya pili.

  4. Ninje ayakumbuke haya

    Hivi karibuni, Ninje aliwasili nchini akitokea Uingereza ambako alikuwa anaishi na kuanza kibarua chake cha Ukurugenzi wa Ufundi. Makala haya inakuletea baadhi ya majukumu ambayo anatakiwa kuanza...

  5. TIMUA VUMBI : Namungo mnapaswa kujiandaa kisaikolojia

    LIGI Daraja la Kwanza (FDL) inaendelea kutimua vumbi viwanja mbalimbali huku kuna baadhi ya timu zikiaminika kuwa zina nafasi ya kupanda kutokana na uwezo wa pesa ambazo wanazo.

  6. Namungo yazoa Simba, Yanga, Azam

    KAMA unaichukulia poa klabu ya Namungo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL), basi pole yako kwani jamaa hawana utani hata kidogo.

  7. NINAVYOJUA : Tutawamaliza waamuzi tukitaka kuwahukumu kwa kila kosa

    IMEPITA misimu kama minne hivi nakumbuka toka Mwamuzi, Abdalah Kambuzi ahukumiwe kusimama kuchezesha mechi kadhaa na kamati ya masaa 72 , hukumu ile ilitokana hasa na msukumo wa mashabiki na...

  8. China aipa mchongo Taifa Stars

    Kiungo wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Athumani China, amefunguka kuhusiana na uamuzi wa Rais John Magufuli kuwaalika wachezaji wa timu hiyo Ikulu, Dar es Salaam.

  9. Ninje apewa shavu jingine TFF

    KOCHA Ammy Ninje ameula baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), huku nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya shirikisho hilo iliyoachwa wazi na...

  10. VIDEO: Ninje aula ukurungezi wa ufundi TFF

    Ninje amekuwa mkurungezi wa ufundi baada ya kuondoka nchini kutokana na kushindwa kuisaidia Kilimanjaro Stars kufanya vizuri katika mashindano ya Chalenji nchini Kenya.

Previous

Page 62 of 98

Next