Mtihani alionao Momanyi Pamba Jiji MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Mathew Tegisi Momanyi amesema ana kazi kubwa ya kufanya kuikabili safu ya ulinzi ya Simba, lakini jambo kubwa kwake ni kuhakikisha anatumia makosa ya wapinzani wao...
Fei Toto aiwahi Dodoma Jiji AZAM FC inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi tatu za kumalizia msimu wa Ligi Kuu, lakini taarifa njema ni kwamba kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ aliyekosekana katika...
PRIME Pacome, Maxi washtua Yanga KAMA kuna shabiki aliyekuwa akiamini Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli wanatimka Yanga kwa vile mikataba waliyonayo kwa sasa inamalizika mwisho wa msimu huu, basi pole yao.
PRIME Chamou atibua hesabu Simba KAMA utani hivi, beki wa kati Simba, Chamou Karaboue amebadili uamuzi wa mabosi wa klabu hiyo kutokana na kiwango chake, huku kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids akisema amefanikiwa kuwapa...
Yanga v JKU fainali Muungano Cup mechi ya kuviziana NI kama fainali ya kuviziana, kwani kila upande unataka kufanya vizuri ili uongeze au uweke rekodi.
PRIME Ahadi ya Camara Simba CAF KIPA namba moja wa Simba, Mousa Camara amewaahidi mashabiki wa klabu hiyo jambo moja kuelekea mechi ya fainali ya Shirikisho dhidi ya RS Berkane.
Robert Matano safari imewadia Fountain Gate? INAELEZWA kwamba Kocha wa Fountain Gate, Robert Matano anaweza kutoendelea na timu hiyo kwa msimu ujao kutokana na kushindwa kuipa matokeo yaliyotarajiwa.
PRIME Utata sakata la Noble Fountain Gate WAKATI uongozi wa Fountain Gate ukipanga kukutana na kipa wa timu hiyo, John Noble ili ajibu tuhuma za kucheza chini ya kiwango, mwenyewe anadaiwa kutopatikana huku ikidaiwa kwamba kaondoka...
Chama Lako limefundishwa na makocha wangapi? KUNA timu tatu vinara zilizokimbizana kutimua makocha na kuajiri wengine ndani ya msimu huu wa Ligi Kuu Bara, lakini pia zipo tatu zilizokomaa zikionyesha zitamaliza na makocha wanne walewale...
PRIME Ishu ya Diarra kuondoka Yanga iko hivi MASHABIKI wa Yanga wamekuwa na presha baada ya kuenea taarifa kwamba kipa namba moja Diarra Djigui anajiandaa kuondoka, lakini kocha mkuu Miloud Hamdi ameweka msimamo, huku akiwatoa hofu...