PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Unamuona Haji Manara Singida Black Stars? UNAUONA Haji Manara akijiunga na Singida Black Stars? Kwa mtoto wa mjini sioni hilo likitokea. Bado natamani kumuona kwenye mpira, lakini sijui namuona wapi. Hakuna kitu kizuri kama kufanya...
Hawa wanaweza kusepa muda wowote ZIMEBAKI siku saba kabla ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi kufungwa katika zile ligi kubwa Ulaya, ambapo hadi sasa kuna majina ya mastaa wanaoonekana kuwa na nafasi kubwa ya kuondoka...
COME BACK: Haijaisha hadi iishe HAIJAISHA hadi iishe. Kama ulijua wamestaafu masumbwi na kukaa tu, basi bado jaijaisha na mwaka huu utashuhudia mapambano mawili makubwa na yanayotajwa yatavutia hisia za mashabiki wengi na wadau...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Awesu ni MVP mpya Msimbazi? PENGINE bado ni mapema sana, lakini kuna wachezaji tayari wameanza kuwasha moto mwanzoni kabisa mwa msimu.
Vita imerudi upyaa langalanga ULE utamu wa mbio za magari duniani (Formula One) unarudi tena wikiendi hii baada ya kusimama kwa mapumziko ya duru la kwanza la msimu mzima wa mbio hizo.
GAME ON: Kazi imeanza, Simba, Yanga kila mtu kivyake GAME On! Sasa kazi inaanza rasmi. Ligi Kuu Bara inaanza leo Ijumaa, lakini kesho kuna mechi nyingine nne za ligi hiyo ukiwamo ule wa Simba dhidi ya Tabora United sambamba na michezo ya kimataifa...
Kazini kwa Simba msimu huu kuna kazi KILA nikitazama Kikosi cha Azam FC na kile cha Yanga, nagundua kabisa kazini kwa Simba msimu huu kuna kazi.
Usaajili uliokamilika Ligi Kuu Bara 2024/25 DIRISHA la usajili Ligi Kuu Bara na mashindano mengine ya ndani bado lipo wazi hadi Alhamisi ya wiki hii litakapofungwa tangu lilipofunguliwa rasmi Juni 15, huku klabu mbalimbali zikiendelea...
Kakway anacheka tu na nyavu huko WAKATI mafundi wa kutupia katika maeneo ya mitupio mitatu ‘three pointi’ wakichuana vikali katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa dar es Salaam (BDL), mchezaji Abdul Kakwaya wa DB Oratory anaongoza...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Umeona kombe la Afrika Kwa Mkapa? MATAMASHA ya Simba na Yanga kuelekea msimu mpya yalifanyika katika Uwanja wa Mkapa wikendi iliyopita, lakini sijaona Kombe la Afrika. Labda bado ni mapema sana. Labda ni suala la kuwa na subira.