Usaajili uliokamilika Ligi Kuu Bara 2024/25

Muktasari:
Mwanaspoti linakuletea baadhi ya sajili za nyota wapya zilizokamilika na kutangazwa katika dirisha hili kubwa la usajili la msimu mpya wa 2024-2025 uliozinduliwa rasmi kwa mechi za Ngao ya Jamii ilizokutanisha timu nne zilizomaliza katika Nne Bora yaani Yanga, Azam, Simba na Coastal Union. Ebu soma mwenyewe..!
DIRISHA la usajili Ligi Kuu Bara na mashindano mengine ya ndani bado lipo wazi hadi Alhamisi ya wiki hii litakapofungwa tangu lilipofunguliwa rasmi Juni 15, huku klabu mbalimbali zikiendelea kuvuta silaha mpya na kuacha nyota waliokuwa nao ili kujiimarisha.
Mwanaspoti linakuletea baadhi ya sajili za nyota wapya zilizokamilika na kutangazwa katika dirisha hili kubwa la usajili la msimu mpya wa 2024-2025 uliozinduliwa rasmi kwa mechi za Ngao ya Jamii ilizokutanisha timu nne zilizomaliza katika Nne Bora yaani Yanga, Azam, Simba na Coastal Union. Ebu soma mwenyewe..!
AZAM FC
Walioingia
Yoro Mamadou Diaby (Yeleen Olympique), Franck Tiesse (Stade Malien FC), Ever Meza (Leonnes FC), Jhonier Blanco (Aguilas Doradas), Adam Adam (Mashujaa FC), Nassor Saadun (Geita Gold), Mohamed Mustafa (Al-Merrikh), Cheickna Diakite (AS Real Bamako), Mamadou Samake (CR Belouizdad).
Waliotoka
Edward Manyama, Ayoub Lyanga (Singida BS), Malickou Ndoye (Haijafahamika), Daniel Amoah (Haijafahamika), Isah Ndala (Haijafahamika), Prince Dube (Yanga), Kipre Junior (MC Alger), Abdulai Iddrisu (Haijafahamika).
YANGA
Walioingia
Clatous Chama (Simba), Prince Dube, (Azam FC), Chadrack Boka (FC Saint Eloi Lupopo), Khomeiny Abubakar, Duke Abuya (Singida Black Stars), Aziz Andambwile (Fountain Gate FC), Jean Baleke (Al-Ittihad SCS Tripoli/ TP Mazembe).
Waliotoka
Zawadi Mauya, Metacha Mnata, Joseph Guede (Singida BS), Joyce Lomalisa (GD Sagrada Esperanca), Mahlatse Makudubela (Haijafahamika), Augustine Okrah (Haijafahamika), Gift Freddy (Haijafahamika).

SIMBA
Walioingia
Joshua Mutale (Power Dynamos), Steven Mukwala (Asante Kotoko), Charles Ahoua (Stella Club Adjame), Abdulrazack Hamza (SuperSport United), Valentino Mashaka (Geita Gold), Augustine Okejepha (Rivers United FC), Debora Mavambo (Mutondo Stars FC), Omary Abdallah (Mashujaa FC), Valentin Nouma (FC Saint Eloi Lupopo), Chamou Karaboue (Racing Club d'Abidjan), Yusuph Kagoma, Kelvin Kijili (Fountain Gate FC), Awesu Awesu (KMC FC), Moussa Camara (Horoya AC).
Waliotoka
John Bocco (JKT TZ), Saido Ntibazonkiza (Haijafahamika), Shaaban Idd Chilunda (Haijafahamika), Luis Miquissone (UD Songo), Kennedy Juma, Israel Mwenda (Singida BS), Henock Inonga (FAR Rabat), Mohamed Mussa (Mashujaa), Clatous Chama (Yanga), Aubin Kramo (Al Hilal), Pa Omar Jobe (FC Nouadhibou), Sadio Kanoute, Babacar Sarr (JS Kabylie), Moses Phiri (Power Dynamos FC), Leandre Onana (Muaither SC).
FOUNTAIN GATE FC
Walioingia
John Noble, Aron Lulambo, Patrick Lembo (Tabora United), Seleman Mwalimu (KVZ), Salum Kihimbwa (TZ Prisons), Kassim Haruna 'Tiote', Abalkassim Suleiman (Mtibwa Sugar), Abdallah Kulandana (Mlandege), Edgar William (KenGold), Shafik Batambuze (Kakamega Homeboyz), Olawale Oremade (Smart City FC Lagos), Fikirini Bakari (Singida BS), Fadhili Kisunga, Anack Mtambi, Zamkufo Elias, Sadick Said, (FGA Talents), Mussa Habibu (Comfort FC), Bakar Landry (Geita Gold), Arafat Ally, Amos Nada (Azam FC), John Kelwish (Bidco United FC), Elie Mokono (Bumamuru FC), Yessaya Hebron (Mashujaa FC), Asi Serge (Muraz FC), Henrick Nkosi (Huru), Lawrence Luvanda (Tusker FC).
Waliotoka
Carno Biemes (Al Hamriyah Club), Nicholaus Wadada (Vipers FC), Yahya Mbegu, Benedict Haule (Singida BS), Beno Kakolanya (Namungo FC), Francis Kazadi (Haijafahamika), Aziz Andambwile (Yanga), Yusuph Kagoma, Kelvin Kijili (Simba).
KMC FC
Walioingia
Nickson Mosha (Mtibwa Sugar), Jean Nzeyimana (Vital'O FC), Oscar Paul (Kakamega Homeboyz), Salum Athuman 'Stopper' (KVZ), Fabien Mutombora (Vipers SC), Ajoh Austin (Union Sportive de Douala), Ismail Mpank (Biashara United), Ally Valentine (Bumamuru FC).
Waliotoka
Awesu Awesu (Simba), Wazir Junior (Dodoma Jiji), Denis Richard (JKT TZ), Masoud Abdallah 'Cabaye' (Haijafahamika), Sadala Lipangile (Haijafahamika).

PAMBA FC
Walioingia
Frank Ng'amba (TMA FC), Justine Omary (Dodoma Jiji), Ibrahim Abraham, Yona Amos (TZ Prisons), Ben Nakibinge, Eric Okutu, Paulin Kasindi (Tabora United), Samson Madeleke, Ally Ramadhan 'Oviedo' (Mashujaa), Costantino Almisu (Zimamoto FC), Saleh Masoud (JKU), Yunus Lema (Mbuni FC), Mukeya Alain (TP Mazembe), Kenneth Kunambi (Singida BS), Christopher Oruchum (Posta Rangers), Paul Kamtewe (KenGold), Kelvin Nyanguge (TZ Prisons U-20), James Mwashinga (Namungo FC), Samuel Antwi (Rivers United FC), Emmanuel Boateng Agyenim (Bofoakwa Tano FC), George Mpole (FC Saint Eloi Lupopo).
Waliotoka
Haruna Chanongo, Ismail Ally (TZ Prisons), Hassan Mwasapili (Haijafahamika), Peter Mwalyanzi (Haijafahamika), Tariq Abeid (Haijafahamika), Mudathir Said (Haijafahamika), Emmanuel Mahige (Haijafahamika), Aniceth Revocatus (Haijafahamika), Mbarouk Mikelo (Haijafahamika), Rashid Mchelenga (Haijafahamika), Rolland Msonjo (Haijafahamika), Omary Chibada (Kagera Sugar), Issah Ngoah (Haijafahamika), Jamal Mtegeta (Haijafahamika), Jackson Wandwi (Haijafahamika), John Mwanda (Haijafahamika), Isack Kachwele (Haijafahamika), David Mwassa (Mbeya City), Jonathan Anuary (Haijafahamika), Jerry Tegete (Haijafahamika), Frank Kavinea (Haijafahamika), Bruno John Shayo (Haijafahamika), James Ambrose (Haijafahamika), Salehe Ferooz (Haijafahamika).
COASTAL UNION
Walioingia
Anguti Luis (KCCA FC), Abdallah Hassan (Bandari FC), Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar), Ramadhan Mwenda (KCB FC), Haroub Abdallah 'Gattuso' (Malindi SC), Mukrim Issa 'Miranda', Hernest Briyock Malonga (Singida Black Stars), Athuman Msekeni (Mlandege FC), Gift Abubakar (Proline FC), Amara Bagayoko (ASKO de Kara), John Mark Makwata (Kariobangi Sharks).
Waliotoka
Lameck Lawi (KAA Gent), Roland Beakou (Haijafahamika), Abubakar Abbas (Haijafahamika), Omary Mbaruku (Haijafahamika), Ibrahim Ajibu (Dodoma Jiji), Haji Ugando (KenGold), Crispin Ngushi (Mashujaa).
MASHUJAA
Walioingia
Ally Nassoro 'Ufudu' (Kagera Sugar), Yusuph Dunia (Geita Gold), Robert Mackidala (KenGold), Ismail Mgunda, Jaffary Kibaya (Singida Black Stars), Mathew Michael (Mbeya City), Carlos Protus (Biashara United), Mohamed Mussa (Simba), Abdulmalik Zakaria (Namungo FC), Seif Karihe (Mtibwa Sugar), Crispin Ngushi (Coastal Union).
Waliotoka
Adam Adam (Azam FC), Samson Madeleke, Ally Ramadhan 'Oviedo' (Pamba FC), Michael Masinda (Haijafahamika), Saidi Makapu (Haijafahamika), Shedrack Ntabindi (Haijafahamika), Mchembe Maganda (Haijafahamika), Omary Abdallah (Simba), Reliants Lusajo (Dodoma Jiji), Athuman Masumbuko 'Makambo' (SV Darmstadt), Ismail Aidan Mhesa (Tabora United).

SINGIDA BLACK STARS
Walioingia
Metacha Mnata, Zawadi Mauya, Joseph Guede (Yanga), Yahya Mbegu, Benedict Haule (Fountain Gate), Edward Manyama, Ayoub Lyanga (Azam), Edmund John (Geita Gold), Anthony Tra Bi Tra, Josaphat Arthur Bada, Ande Koffi Cirille (ASEC Mimosas), Mohamed Kamara (Horoya AC), Ibrahim Imoro (Al Hilal), Najim Mussa (Tabora United), Kennedy Juma, Israel Mwenda (Simba), Jimmyson Mwanuke (Mtibwa Sugar), Emmanuel Keyekeh (FC Samartex), Mohamed Damaro (Hafia FC), Victorien Adebayor (AS GNN), Hamad Majimengi (Namungo FC).
Waliotoka
Benson Mangolo (Jwaneng Galaxy), Morice Chukwu, Faria Ondongo (Tabora United), Khomeiny Abubakar, Duke Abuya (Yanga), Mukrim Issa 'Miranda', Hernest Malonga (Coastal Union), Ismail Mgunda, Jaffary Kibaya (Mashujaa FC), Raphael Daud, Lenny Kisu, Amade Momade (Namungo FC), Kenneth Kunambi (Pamba FC), Emmanuel Bola Lobota (Red Arrows FC), Vedastus Mwihambi, Ezekia Mwashilindi (TZ Prisons), Joseph Mahundi (Kagera Sugar), Issa Rashidi 'Baba Ubaya' (Mtibwa Sugar), Fikirini Bakari (Fountain Gate FC).
TZ PRISONS
Walioingia
Haruna Chanongo, Ismail Ally (Pamba FC), Samson Sebusebu, Seleman Ibrahim 'Boban', (Geita Gold), Oscar Mwajanga (Mbeya Kwanza), Abubakar Ngalema, Meshack Abraham (Dodoma Jiji), Vedastus Mwihambi, Ezekia Mwashilindi (Singida BS), Wema Sadoki (JKT TZ).
Waliotoka
Ibrahim Abraham, Yona Amos (Pamba FC), Benjamin Asukile (Amestaafu), Meshack Suleiman (Haijafahamika), Batshi Mambote (Haijafahamika), Messi Atangana (Haijafahamika), Chilo Mkama (Kagera Sugar), Joshua Nyatini (Haijafahamika), Hamis Kassanga (Haijafahamika), Salum Kihimbwa (Fountain Gate).

DODOMA JIJI
Walioingia
Alain Ngeleka, Dickson Mhilu (Kagera Sugar), Reliants Lusajo (Mashujaa FC), Daudi Milandu, Heritier Lulihoshi, Mbombo Jackson, Emotan Cletus (Tabora United), Ibrahim Ajibu (Coastal Union), Waziri Junior (KMC).
Waliotoka
Justine Omary (Pamba FC), Abubakar Ngalema, Meshack Abraham (TZ Prisons), Aaron Kalambo (KenGold), Anuary Jabir (Mtibwa Sugar).
NAMUNGO FC
Walioingia
Beno Kakolanya (Fountain Gate), Djuma Shabani (Huru), Raphael Daud, Lenny Kisu, Amade Momade (Singida BS), Erick Molongi (AC Monzo), Anthony Mligo, Geofrey Julius (Geita Gold), Moubarack Amza (Kagera Sugar), Ritchi Nkoli (AS Mani Kongo), Erick Kapaito (Tusker FC).
Waliotoka
Kelvin Sabato (Haijafahamika), Abdulmalik Zakaria (Mashujaa FC), Emmanuel Charles (Kagera Sugar), James Mwashinga (Pamba FC), Deogratius Munishi 'Dida' (KenGold), Paterne Counou (Haijafahamika), Seidou Blandja (Haijafahamika), Frank Magingi (Haijafahamika), Hamad Majimengi (Singida BS), Michael Joseph (Haijafahamika), Derrick Mukombozi (Haijafahamika).

TABORA UNITED
Walioingia
Heritier Makambo (Al Murooj SC), Yacouba Songne (AS Arta/Solar7), Victor Sochima, Enyinnaya Kazie Godswill, Shedrack Asiegbu (Rivers United FC), Morice Chukwu, Faria Ondongo (Singida BS), Heritier Munani (FC Saint Eloi Lupopo), Ismail Aidan Mhesa (Mashujaa FC), Abdallah Seseme (Kagera Sugar), Nassry Kombo (Mtibwa Sugar), Offen Chikola (Geita Gold), Chigozie Emmanuel (Enyimba).
Waliotoka
Daudi Milandu, Heritier Lulihoshi, Mbombo Jackson, Emotan Cletus (Dodoma Jiji), Najim Mussa (Singida BS), Ben Nakibinge, Eric Okutu, Paulin Kasindi (Pamba FC), John Noble, Aron Lulambo, Patrick Lembo (Fountain Gate FC).
KAGERA SUGAR
Walioingia
Emmanuel Charles (Namungo FC), Omary Chibada (Pamba FC), Samwel Onditi, Erick Mwijage (Geita Gold), Nassoro Kapama (Mtibwa Sugar), Athuman Maulid Rajab (Huru), Nwangwa Nyima (Rivers United), Joseph Mahundi (Singida BS), Chilo Mkama (TZ Prisons), Peter Lwasa (KCCA FC), Tariq Seif (Geita Gold).
Waliotoka
Mbaraka Yusuph (Coastal Union), Alain Ngeleka, Dickson Mhilu (Dodoma Jiji), Ally Nassoro 'Ufudu' (Mashujaa FC), Saidy Natepe (Haijafahamika), Appolinaire Ngueko (Haijafahamika), Moubarack Amza (Namungo FC), Ally Ramadhan 'Kagawa' (KenGold), Abiud Mtambuka (Haijafahamika), Gaspa Mwaipasi (Haijafahamika), Abdallah Seseme (Tabora United).

JKT TZ
Walioingia
John Bocco (Simba), Charles Ilanfya (Mtibwa Sugar), Denis Richard (KMC), Wilson Nangu (TMA FC), Abdulrahman Bausi 'Dully' (Uhamiaji FC), Karimu Bakili 'Chonto' (Biashara United), Elisha Japhet (Twalipo FC), Salum Khamis, Khatib Kombo (KVZ).
Waliotoka
Wema Sadoki (TZ Prisons), Amani Peter Kyata (Mtibwa Sugar).
KENGOLD
Walioingia
Ramadhan Chobwedo (TMA), James Msuva (Mafunzo), Mussa Mussa (FGA Talents), Haji Ugando (Coastal Union), George Sangija (Geita Gold), Herbert Lukindo (Biashara United), Deogratius Munishi 'Dida' (Namungo FC), Joshua Seleman (Tusker FC), Aaron Kalambo (Dodoma Jiji), Ally Ramadhan 'Kagawa' (Kagera Sugar).
Waliotoka
Robert Mackidala (Mashujaa), Edgar William (Fountain Gate FC), Paul Kamtewe (Pamba FC).