Azam Media yaiachia msala TPBRC TASNIA ya mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kwa sasa inapita kwenye kiza kinene baada ya mdau mkubwa wa udhamini wa haki za matangazo Azam Media kujiweka pembeni kutokana na kushindwa kwenye kesi...
Simu zinaita.. Mgunda alivyoweka heshima Msimbazi KWA sasa simu zinaita tu kwa kocha, Juma Mgunda, ambaye alihudumu katika klabu ya Simba kwa miaka miwili sawa na siku 732, kuanzia Septemba 7, 2022 aliporithi kwa muda mikoba ya Zoran Maki ambaye...
MAMA CHEKA: Mwanangu kaokota makopo kajenga shule Msumbiji MIAKA sita imepita sasa tangu bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka 'SMG' alipoachana na mchezo huo mwaka 2018 baada ya kutamba kwa miaka 18, kabla ya kutimkia zake Msumbuji ambako ni...
Bruno: Visa vya kusisimua vilivyomleta kwenye ndondi "HAIKUWA rahisi kufika hapa ni nguvu zake, isingekuwa rahisi kufika hapa ila ni mkono wake." Ni nukuu ya mistari wa wimbo wa injili kutoka kwa Obby Alpha, sawa kabisa na maisha ya kijana kutoka...
PRIME Kwa Simba hii kuna jambo! wapo kila kona LIGI Kuu Bara imesimama hadi Septemba 11, huku zikishuhudiwa mechi 13 zikipigwa na kufungwa jumla ya mabao 22, ilihali Simba ikitawala kila kona, japo timu sita zimesaliwa na viporo vya mechi...
KMC yabanwa mbavu nyumbani na Coastal, Matampi akirihusu bao KINARA wa Clean Sheet kwa msimu uliopita, Ley Matampi wa Coastala Union ameuamza msimu mpya wa Ligi Kuu Bara kwa kutunguliwa wakati timu hiyo ikitoka sare ya 1-1 ugenini dhidi ya KMC.
Mabondia 10 bora wa kike Tanzania KATIKA mchezo wa ngumi za kulipwa Tanzania upande wa wanawake wamekuwa wa kipata nafasi ndogo ya kutambulika katika jamii licha ya juhudi zao kubwa wanazozifanya kwenye mchezo huo.
Jeuri ya Aussems ipo hapa! KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars raia wa Ubelgiji, Patrick Aussems amesema kwa sasa anajivunia upana na ubora wa timu hiyo baada ya kuanza vyema Ligi Kuu Bara msimu huu, huku wachezaji wote...
Singida Black Stars yaanza na moto Ligi Kuu Bara Singida Black Stars imeanza kwa kishindo msimu mpya wa Ligi Kuu Bara baada ya kuikaribisha na kipigo kizito, KenGold iliyopanda daraja kwa kuinyuka mabao 3-1 katika pambano tamu lililopigwa...
Mashujaa v Dodoma, wanaanzia walipoishia Si unakumbuka Mei 28, 2024 ndiyo msimu wa Ligi Kuu Bara 2023-2024 ulifikia tamati? Basi siku hiyo zilipigwa mechi nane zikihusisha timu 16 zilizoshiriki ligi msimu huo, na kati ya mechi hizo...