Shiboub, Chilunda ni shoo ya kibabe Hata mabao yaliyofungwa na Shiboub, Chama, Kahata, Chilunda na Domayo yote yalikuwa bab’kubwa mbali na udambwidambwi uliotawala dakika 90 za pambano hilo
Beki Simba, Masai waongezwa Stars BEKI wa kulia anayetajwa kujiandaa kurejea Msimbazi akitokea Lipuli ya Iringa, Haruna Shamte pamoja na wachezaji wengine wawili akiwamo Oscar Masai wameongezwa katika timu ya taifa, Taifa...
Walioingia na kutoka timu Ligi Kuu Zimebaki wiki chache kabla ya kufunguliwa kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020 huku idadi kubwa ya timu zikiwa katika maandalizi.
Wachezaji hawa watauana kusaka namba yaibuka Ligi Kuu Utitiri wa wachezaji waliosajiliwa wanaocheza nafasi ya ushambuliaji unaashiria eneo hilo ndilo litakuwa na ushindani mkali kwa timu mbalimbali wakati huu wa maandalizi.
Azam yaichapa TP Mazembe yatinga nusu fainali Azam ni mabingwa watetezi wa kombe la Kagame ikiwa imetwaa taji hilo mara mbili
TFF yabariki vijana FC Vito Singida kwenda Finland FC Vito Singida ni timu yetu ya kwanza kwenda nje, michezo mikubwa barani Ulaya, wana umri 10 mpaka 12, Helsinki Cup yatakayoanza tarehe 8 mpaka 13.
JAMVI LA KISPOTI : Uteuzi Kurugenzi ya Ufundi, TFF inahitaji kuwa makini KWENYE maisha hakuna asiyekosea. Hii inamaanisha kila binadamu mwenye afya ya akili, lazima kuna wakati anakosea.
TFF yamtupia virago kocha Mirambo wa Serengeti Boys Baada ya kufanya vibaya katika mashindano ya Mataifa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17, (Afcon), Shirikisho la Soka Tanzania limetangaza kumtimua kocha wa Serengeti Boys, Oscar Mirambo.
Mabao 10 bora ya Hazard Chelsea HATIMAYE kisiki, Eden Hazard kimeng’oka Chelsea na kwenda Real Madrid kwa uhamisho wa Pauni 115 milioni. Hazard amefanya mambo mengi makubwa na amefunga mabao mengi ya kukumbukwa.
Mike Tyson aenda jela miaka sita kesi ya kubaka Siku ya pambano Tyson na Douglas waliingia ulingoni kila mmoja akiwa amevurugwa. Tyson changamoto za maisha na ujana, Douglas alikuwa ametoka kumpoteza mama yake mzazi siku 23 kabla ya pambano.