Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8445 results for Mwandishi Wetu :

  1. Dakika 90: Kuvunja urafiki wa Haaland, Bellingham

    WATU wengi wamewahi kucheza soka dhidi ya marafiki zao, lakini si wengi wanaoweza kusema walikutana uwanjani katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia. Hilo ndilo litakalowakuta Erling...

  2. Misri yalia mwamuzi kuwanyonga

    ZIKIWA zimesalia dakika 12 kabla ya muda wa kawaida kumalizika, Misri ilikuwa ikikaribia kupata matokeo makubwa zaidi kuwahi kuyapata katika historia yake ya Kombe la Dunia.

  3. Ronaldo na kilio cha mtu mzima

    UKIONA mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo...' Ndicho kilichoonekana kwa chozi la mshambuliaji wa Cristiano Ronaldo baada ya kukiri hili ilikuwa Kombe lake la Dunia la mwisho, lakini...

    KILIO Pict
  4. PRIME Simba yavamia winga Sauzi! Ni yule aliyezungumza na Yanga

    Soma zaidi!

  5. Messi aibeba Argentina, yatinga robo fainali dakika za jioni

    BINGWA mtetezi wa Kombe la Dunia, Argentina, imeonyesha kwa mara nyingine kuwa ni moja ya timu hatari zaidi duniani baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya...

  6. 'Trump Dance' ya Ubelgiji gumzo

    NYOTA wa Ubelgiji baada ya kuichapa Marekani aliamua kufanya utani kwa kucheza "Trump Dance." kwa mtindo wa kucheza muziki wa Rais Donald Trump.

    DANCE Pict
  7. Jordan Henderson hatihati England

    KIUNGO wa England, Jordan Henderson anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mkono, huku ushiriki wake uliosalia Kombe la Dunia ukitia shaka.

    HANDERSON Pict
  8. Georgina Rodriguez avunja ukimya

    MCHUMBA wa nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez, amevunja ukimya kwa kumuonyesha sapoti nyota huyo baada ya ndoto yake ya kutwaa Kombe la Dunia kufikia mwisho.

    GEOGINA Pict
  9. Mauricio Pochettino afunguka hatma yake

    KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Marekani, Mauricio Pochettino, amesema atachukua muda wa kupumzika baada ya kumalizika kwa kampeni ya Kombe la Dunia kabla ya kufanya uamuzi kuhusu mustakabali wake.

    POCHE Pict
  10. Rais Trump amsifia tena Harry Kane

    RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kumpa sifa nahodha wa England, Harry Kane, akimtaja kuwa mmoja wa wachezaji bora na kufichua kuwa aliwahi kucheza naye mchezo wa gofu.

    Kane Pict
Previous

Page 51 of 845

Next