Kocha Man United atoa msisitizo, asema hauzwi mtu KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ruben Amorim amesema hakuna mchezaji atakayeuzwa kwenye dirisha la Januari kama hatakuwa amepatikana mbadala wake.
Davido aipa Taifa Stars bao dhidi ya Nigeria STAA wa muziki wa Nigeria, Davido ametoa utabiri wake wa nchi ambayo anaamini itanyakua ubingwa wa Afcon 2025.
TMA Stars yawapa ‘thank you’ kocha na wasaidizi wake Klabu ya TMA Stars FC kupitia kwa Katibu wake Mkuu, Mbwana Hamad Mbwana umetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Habibu Kondo pamoja na wasaidizi wake.
Muya apewa mkono wa kwaheri Coastal Union Coastal Union imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, Mohammed Muya kuanzia leo Jumatano, Aprili 8, 2026.
Mohbad kuzikwa baada ya matokeo ya DNA Baba wa marehemu mwanamuziki Ilerioluwa Aloba “Mohbad”, Joseph Aloba, ameweka wazi kuwa sababu pekee inayochelewesha mazishi ya mwanawe ni kukamilika kwa kipimo cha DNA cha mtoto wa Mohbad.
Hersi kushiriki kongamano la FIFA, Qatar leo SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA), Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa wataalam watakaofundisha...
Shabiki Senegal afariki akienda uwanjani SHABIKI mmoja wa Senegal alifariki dunia katika ajali ya gari siku ya Jumamosi akiwa njiani kwenda Tangier ili kuishangilia timu ya Simba wa Teranga katika mechi ya 16 Bora ya Kombe la Mataifa ya...
Chelsea inataka kusajili maeneo yote CHELSEA inaendelea kutafuta wachezaji katika nafasi zote wakati dirisha la usajili likitarajiwa kumalizika usiku wa leo.
Simbu atetea nafasi ya pili Boston Marathon Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.
Mr P aibua maswali baada ya kubadili tarehe ya kuzaliwa Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Peter Okoye maarufu kama Mr P, ametangaza rasmi kubadilisha tarehe yake ya kuzaliwa kutoka Novemba 18 kwenda Novemba 30, bila kutoa sababu za uamuzi huo.