Azam iliwapoteza Yanga hapa tu SIO mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga baada ya kocha mpya, Mbelgiji Luc Eymeal kupoteza mechi mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar na jana Jumamosi dhidi ya Azam Fc. Pia...
Masikini! Sonso ajifunga, kadi nyekundu Yanga yachapwa 1-0 Azam FC Hicho ni kipigo cha pili kwa Yanga wakiwa chini ya kocha Luc Eymael ambaye leo alipewa kadi njano na mwamuzi kutokana na kumtolea maneno makali.
Azam v Yanga: Ni vita ya rekodi ya kibabe zaidi Tangu mwaka 2010 timu hizo zimekutana mara 18 na kila moja imeshinda mechi sita na zikitoka sare michezo sita, hivyo kuonekana hakuna mbabe wa mwenzake na hata katika mchezo wa leo timu yoyote...
Ilikuwa lazima Xavi aitose Barcelona INAWEZEKANA ulikuwa uamuzi mgumu sana kuuchukua, lakini, Xavi Hernandez alikuwa na sababu zake za msingi zilizomfanya aitose Barcelona.
Xavi awasubirisha stendi Barcelona GWIJI wa Barcelona, Xavi amegoma kurudi kuinoa timu hiyo kwa sasa akiwaambia mabosi wasubiri hadi mwisho wa msimu.
Valverde atupiwa virago, Barcelona yatangaza kocha mpya Barcelona imemtangaza kocha mpya Quique Setien kujaza nafasi Ernesto Valverde aliyefukuzwa.
Bahati yenu mmekimbia Kwa ushindi huo, Simba itaivaa Mtibwa Sugar katika fainali itakayopigwa keshokutwa Jumatatu kwenye uwanja huo huo
Mayweather anavyopiga pesa kijanja Hivi karibuni alitangaza kwamba anataka kurudi tena ulingoni kuzipiga. Atarudi, atapiga pesa atatangaza kustaafu tena. Hii si mara ya kwanza, Mayweather, amekuwa akistaafu na kurudi ulingoni...
Stars yaendeleza unyonge kwa Kenya TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars imemaliza katika nafasi ya nne baada ya kupoteza mchezo wake wa kuwania mshindi wa tatu wa mashindano ya Chalenji dhidi ya Kenya kwa mabao 2-1.
Stars yatoka mikono mitupu Chalenji Mabao mawili ya Kenneth Muguna na Abdallah Hassan yameifanya timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' kutoka mikono mitupu katika mashindano ya Chalenji baada ya kukubali kipigo cha...