Tabia za mashabiki zamkera Wema Sepetu MISS Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema huwa hapendezwi na kitendo cha mashabiki kumshindanisha na mwanamitindo Hamisa Mobetto, kwani jambo hili ni kama wanamtengenezea chuki na mrembo huyo.
Wahabeshi waitangulia Yanga CAF WAKATI Yanga ikijiandaa kushuka uwanjani saa 1:00 usiku kumalizana na Vital'O ya Burundi, wapinzani watakaokutana nao katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kama itawang'oa Warundi...
Singida BS yaichapa Kagera SINGIDA Black Stars, wameendeleza ubabe wao katika Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wao, Kagera Sugar.
Diamond aibukia kampeni za Raila Odinga Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz leo ametumbuiza kwenye mkutano wa kufunga kampeni za mgombea urais wa Kenya kwa tiketi ya Azimio...
Unamtaka Umtiti? Lete Pauni 44milioni BARCELONA wameripotiwa kujiandaa kumuuza beki wao Mfaransa Samuel Umtiti kwa ada ya uhamisho ya Pauni 44 milioni katika dirisha lijalo la uhamisho la majira ya kiangazi.
Chirwa: Ubingwa lazima, Biashara tunawapiga STRAIKA wa Azam FC, Obrey Chirwa amewahakikishia viongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa mechi yao ya kesho Jumatatu dhidi ya Biashara United lazima washinde na ubingwa utatua Chamazi.
Nafasi nyingine kwa Samatta MBWANA Samatta leo Jumamosi anatarajiwa kushuka tena uwanjani wakati timu yake ya Genk itakapokuwa ugenini katika mfululizo wa mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji.
Yanga yamponza Kiiza Uganda KOCHA wa timu ya taifa ya Uganda, Bobby Williamson amesema hajamuita kikosini straika wa Yanga yenye ubutu
Kumbe mashabiki walijipanga kwa selfie na Rooney Baadhi ya mashabiki waliofika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere walikuwa wakiwaza kupiga picha za selfie na mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney.
Cheka, Dulla Mbabe walianzisha mapema UPINZANI wa ngumi za kulipwa kwa sasa umegeukia kwa bingwa wa zamani wa dunia wa WBF, Francis Cheka na Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’.