Wydad AC yatambulisha wapya watatu, Aziz Ki ndani KLABU ya Wydad imewatambulisha nyota watatu wapya, akiwamo aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki waliojiunga na timu hiyo inayojiandaa na Michuano ya Kombe la Dunia kwa Klabu...
Offen Chikola asaini Yanga, apewa mitatu YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, Offen Chikola.
Siri ya dili la Gyokeres Arsenal STRAIKA, Viktor Gyokeres amefunguka anadhani Arsenal ni klabu mwafaka kwake kuwa hapo na kuwaahidi kuwapa mashabiki wa timu hiyo kitu cha kushangilia msimu huu.
Wahi Kwa Mkapa uione Taifa Stars bure CHAN 2024 inaendelea leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, grupu B likicheza mechi zake za pili.
Simba waikalia kikao Yanga usiku, Ahmed Ally afunguka haya Uongozi wa Simba umeitisha kikao cha dharura usiku huu kujadili kuzuiliwa kwa timu yao kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo.
Marioo acharuka ishu ya kubadili dini NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo ameshangaa wanaodai amebadili dini ili kufunga ndoa na Paula, jambo ambalo ameweka wazi sio rahisi kutokea kamwe.
Masha Love atoa neno ndoa na Mose Iyobo MWANADADA mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Masha Love amefichua ukweli juu ya kuridhia ndoa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo na ameamua kuolewa ili kutoa nuksi.
Mourinho atajwatajwa huko Nottingham Forest KOCHA nguli, Jose Mourinho ameripotiwa huenda akarudi kwenye Ligi Kuu England kwa kishindo kwenda kuchukua mikoba huko Nottingham Forest endapo kama Nuno Espirito Santo atafutwa kazi.
Refa wa kwanza mweusi EPL, Uriah Rennie afariki dunia Mwamuzi wa kwanza mwenye asili la Afrika aliyechezesha Ligi Kuu ya England (EPL), Uriah Rennie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Simba yafunga hesabu kwa Conte Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa CS Sfaxien, Balla Moussa Conte leo Ijumaa, Julai 11, 2025.