Messi ana jambo lake kwa England KUNA mambo machache sana ambayo Lionel Messi hajawahi kuyafanya ndani ya uwanja wa mpira. Hata hivyo, nusu fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na England, itakayochezwa Jumatano jijini...
Utamu wa EPL unaanza mapema WAKATI Kombe la Dunia 2026, likielekea mwishoni sasa katika hatua ya nusu fainali, klabu nyingi za Ligi Kuu England tayari zimeanza maandalizi ya msimu mpya kupitia mazoezi na mechi za kirafiki.
Polisi yatanguliza mguu mmoja Ligi Kuu, ikiirarua Prisons TIMU ya Polisi Tanzania imetanguliza mguu mmoja kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuwapiga maafande wa Magereza, Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 ikijiweka sehemu nzuri ya kufuzu.
Sheria mpya VAR yaanza na Embolo MSHAMBULIAJI wa Uswisi, Breel Embolo, ameandika historia isiyotamaniwa baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kutolewa nje kwa kadi nyekundu kutokana na matumizi ya sheria mpya ya VAR inayoruhusu...
Hugo Ekitike awapa faraja Liverpool MASHABIKI wa Liverpool wamepata taarifa ya kutia moyo kuhusu maendeleo ya mshambuliaji Hugo Ekitike baada ya nyota huyo kuonekana hadharani katika michuano ya Wimbledon akiendelea na safari ya...
Kisa vitisho vya kuuawa agoma kurudi Colombia MSHAMBULIAJI wa Colombia, Jaminton Campaz, anaripotiwa kutorejea nchini kwao baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 kutokana na hofu ya usalama wake kufuatia kupokea vitisho vya kuuawa...
Kigari cha Neymar ‘chazua gumzo’ Marekani NYOTA wa Brazil, Neymar ameonekana akitumia kigari 'skuta ya umeme' katika Hifadhi ya Burudani ya Universal Orlando Resort nchini Marekani, siku chache tu baada ya Brazil kuondolewa kwenye Kombe...
England, Argentina ni vita ya kisasi ENGLAND italazimika kuiondoa Argentina ya Lionel Messi ikiwa inataka kuendelea kuota ndoto ya kutwaa Kombe la Dunia 2026.