Yanga yashusha kitasa kipya, msaidizi wa Aucho KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andambwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili. Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza nguvu eneo la kiungo cha...
Samia Cup Msasani kumekucha BINGWA wa Samia Supa Cup, Kata ya Msasani anatarajiwa kuvuna Sh4 milioni baada ya Diwani wa Kata hiyo, Luca Neghest ametangaza kwenye uzinduzi wa mashindano hayo.
Kumbe Paula umaarufu ulimfuata MTOTO wa mwigizaji Kajala Masanja, Paula amesema katika maisha yake yeye ndiye aliyeutaka umaarufu na umaarufu ukamfuata wenyewe kutokana na kupostiwa na mama yake kwenye mtandao wa Instagram.
ZUBAA UPIGWE: Bayern ya Harry Kane itatoboa? NA leo tena. Mechi za mchujo za Ligi ya Mabingwa Ulaya za kuwania tiketi ya kucheza kwenye mtoano wa hatua ya 16 bora zinapigwa usiku wa leo Jumatano, huku mashabiki wa mikikimikiki hiyo...
Diaz, Salah waipa ushindi Liverpool Liverpool imeendelea kuonyesha ubabe wake kwenye Ligi Kuu England baada ya kuichapa Wolves mabao 2-1 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa Anfield.
Dodoma Jiji nje Shirikisho, Leo Tena yatakata TIMU za Ligi Kuu zinaendelea kupungua kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya Dodoma Jiji nayo kuaga kufuatia kipigo cha penalti 5-6 dhidi ya Leo Tena ya mkoani Kagera.
Amorim apika tiba ya Rashford KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemwambia staa wa timu hiyo, Marcus Rashford kuwa anatakiwa apambane kurudi kwenye ubora wake, lakini naye atamsaidia.
Chanzo kifo cha mchekeshaji Molingo chatajwa Mudi Msomali aliyekuwa akimsimamia marehemu mchekeshaji Frank Patrick, maarufu Molingo katika sanaa yake, amesema kijana huyo aliishiwa damu baada ya kumtoka kwa saa tano.
PSG bado wamtamani Rashford WABABE wa Ufaransa, Paris Saint-Germain wanadaiwa kuwa bado wanaitamani huduma ya mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford ambaye kwa sasa anacheza kwa...
Tabora United yamtimua Mzimbabwe, yamleta Mzambia Uongozi wa Tabora United jana usiku, Aprili 18, 2025 umetangaza kuachana na kocha Genesis Mangombe kutoka Zimbabwe kutokana na mwenendo usiovutia kwenye Ligi.