Serikali yaitaka timu ya Jumuia Madola kurudi na medali Serikali imewataka wanamichezo wa Tanzania wanaokwenda kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2026 mjini Glasgow, Scotland, kuhakikisha wanarejea nyumbani wakiwa na medali huku taifa...
Simba yatoa 'Thank you' saba SIMBA imewaaga nyota wake saba ikianza mkakati wa kusuka kikosi chake kwa msimu ujao wa 2026-2027.wa Ghana anarejea Singida Black Stars ambayo alitokea huko wakati anatua Simba msimu wa 2025-2026.
Oscar afunguka siri ya utajiri wake NYOTA wa zamani wa Chelsea, Oscar, amefichua siri ya mafanikio yake ya kifedha akisema siri yake hakuwahi kutumia hata senti moja ya mshahara wake mkubwa alipokuwa akiichezea Shanghai Port nchini...
Mashabiki wa Argentina, England wazomeana wakati wa nyimbo za taifa KULIZUKA taharuki na hali ya uhasama kabla ya kuanza kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na England, baada ya mashabiki wa pande zote kuzomeana wakati wa nyimbo za taifa.
Majeraha ya William Saliba Arsenal pigo ARSENAL imepokea taarifa mbaya baada ya beki wake tegemeo, William Saliba atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa hadi miezi mitano kutokana na majeraha ya mgongo aliyoyapata akiwa na timu ya taifa...
Argentina yatembeza viatu, England yalia KIPIGO cha England kutoka kwa Argentina katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kilikuwa mchezo kilichangiwa na mabingwa hao watetezi kufanya faulo kwa wastani wa kila baada ya dakika nne kwenye...
Wezi wakurupushwa nyumbani kwa Yamal NYUMBA ya kifahari ya nyota wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Lamine Yamal, iliyopo jijini Barcelona, imevamiwa na watu waliodhaniwa kuwa wezi saa chache tu baada ya mchezaji huyo...
Argentina yaichapa England dakika za jioni, yatinga fainali Kombe la Dunia 2026 TIMU ya taifa la Argentina imeonyesha kwa mara nyingine kwa nini ni mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia baada ya kupindua matokeo na kuifunga England mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali...