Simeone, Ben White ‘wazinguana’, kisa nembo ya Atletico Madrid
KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amegonga vichwa vya habari baada ya kukabiliana vikali na beki wa Arsenal, Ben White, kufuatia sare ya 1-1 katika mechi ya mkondo wa kwanza ya nusu...