Yanga yawageukia wazee UONGOZI wa klabu ya Yanga ikishirikiana na wadhamini wao GSM imekabidhi rasmi kiasi cha Sh 200 milioni sambamba na mifuko ya saruji yenye ujazo wa tani 100 katika ujenzi wa makazi ya kisasa ya...
NIONAVYO: Tusisubiri mtu afe uwanjani HAKUNA kitu kilichochafua taswira ya mpira wa Uingereza katika karne iliyopita zaidi ya vitendo vya wahuni viwanjani au kwa lugha yao wanawaita hooligans. Hooligans hawa walifanya vurugu ndani na...
KenGold, Namungo moto utawaka, maafande wakishikana mashati Dar UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kushuhudiwa viwanja viwili vikiwaka moto, jijini Mbeya kuna pambano la vibonde wa ligi hiyo, wakati jijini Dar es Salaam kuna vita ya maafande...
Simba yasitisha mkataba wa CEO wao, yamtaja mrithi wake Uongozi wa Simba umetangaza kusitisha mkataba na Francois Regis raia wa Rwanda ambaye alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo.
Samia Cup Msasani kumekucha BINGWA wa Samia Supa Cup, Kata ya Msasani anatarajiwa kuvuna Sh4 milioni baada ya Diwani wa Kata hiyo, Luca Neghest ametangaza kwenye uzinduzi wa mashindano hayo.
Mzee Zorro afunguka kinachomtesa, amtaja Maunda Mimi siumwi sukari, siumwi moyo, siumwi presha, siumwi HIV, figo, wala vidonda vya tumbo. Yaani niwaambie Watanzania siumwi chochote miye.”
SIO POA Kadi nyekundu za kushangaza katika soka MCHEZO wa soka ni wa makosa, kugusana na adhabu zimekuwa zikitolewa kutokana na wachezaji kuchezeana rafu.
Exclusive... HADHARA Fundi wa danadana anayeteseka kwa maradhi UMAARUFU sio utajiri na hakuna uhusiano kabisa, ukitaka kuamini hilo aliyekua Rais wa Uruguay, Jose Mujica alijulikana kama rais maskini zaidi duniani, licha ya kushika nyadhifa za juu za uongozi.
NMB yaiongezea nguvu Yanga kimataifa KUELEKEA mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya Ethiopia, mabingwa wa Tanzania, Yanga wameitambulisha Benki ya NMB kuwa ni mmoja wa wadhamini wa...
Kuna shida Chelsea, Thiago Silva afichua mazito CHELSEA kuna shida na kwa sasa mambo hayajatulia kwenye kutengeneza kikosi huku Kocha Enzo Maresca akiendelea na mazoezi na anachotaka ni wachezaji 24 tu wa kuwafundisha, huku wengine wakipishana...