Kenya yaibeba Afrika Olimpiki 2024 WAKATI michezo wa Olimpiki ikitarajiwa kufungwa rasmi leo kuhitimisha siku 19 za msimu wa michezo hiyo inayofanyikia Paris, Ufaransa nchi ya Kenya ndio iliyolibeba bara la Afrika kwa kuongoza...
Carragher aipa Man City ubingwa Premier Mchambuzi mahiri wa soka nchini Jamie Carragher, amesema bado anaamini kuwa Manchester City ina nafasi kubwa ya kutwaa tena ubingwa wa Ligi Kuu England kama ilivyofanya msimu uliopita.
Chaz Baba afichua siri nzito, amtaja Banza Stone Chaz ameyasema hayo wakati akizungumza na Mwananchi kwenye tamasha la Faraja ya Tasnia baada ya kuulizwa swali kuwa ni msanii gani aliyemgusa na kuweka wazi kuwa ni marehemu Banza Stone
Yanga: Sasa mtakoma ubishi <img src="http://2.s01.flagcounter.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1/" border="0" height="1" width="1"><img...
Yanga yanunua kijanja mechi tatu kali Simba SARE ya bao 1-1 baina Yanga na Mgambo JKT Jumatano iliyopita imezidi kuiweka pabaya Azam kwani urafiki wa mashaka baina ya Simba na Yanga utaendelea mpaka Mei Mosi wakati ambao Mnyama atakuwa...
Simba yazua makubwa Congo IKIWA ni siku moja tangu iwekwe Uwanja wa Ndege wa Kinshasa kwa saa nne bila msaada, Simba imepata ahueni ikiwa ni pamoja na hoteli
Kumekucha KUNA mambo mawili yatakuwapo leo Jumamosi. Kwanza, Ligi Kuu Bara itaanza katika viwanja mbalimbali, na pili, mashushushu wa Recreativo
Klabu Ulaya yamtaka Samatta kwa Sh 500m KLABU ya Villacher Sportverein ya Austria imewaambia Simba kuachana na Shilingi milioni 150 za TP Mazembe kwani wao wanamtaka Mbwana Samatta kwa Shilingi milioni 500.
Du! Mgosi,Kaseja wanaswa Comoro ELAN club de Mistudje ya Comoro inaendelea na mazoezi makali mjini Moroni, lakini majina ya wachezaji watatu wa Simba
Usajili Yanga waitesa Simba YANGA inaitegea Simba na hilo huenda likaitesa klabu hiyo ya Msimbazi kipindi chote cha usajili mdogo.