Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9586 results for Mwandishi :

  1. NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Yanga yaihenyesha Simba kibabe

    KWA sasa kuna kelele nyingi kuhusu Yanga kuifunga Simba mara nne mfululizo, lakini kama hujui ni, Simba iliwahi kuhenyeshwa kwa miaka mitano ikicheza mechi 12 mfululizo bila kuonja ushindi wowote...

    HENYESHA Pict
  2. Arsenal waibeba Man United England

    BAADA ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ipswich Town, Arsenal imeiondolea presha Manchester United juu ya suala la kushuka daraja.

    WAIBEBA Pict
  3. Calafiori aondoke? Hana huo mpango

    Calafiori alijiunga na Arsenal kutokea Bologna wakati wa dirisha la majira ya kiangazi la mwaka jana, lakini ameshindwa kutamba sana kutokana na kusumbuliwa na majeraha.

    CALIFIORI Pict
  4. Xavi Simons akija kuna mtu anatoka

    CHELSEA ipo kwenye hatua za mwisho kabisa kunasa saini ya Xavi Simons, lakini dili hilo litamshuhudia staa mmoja wa Chelsea akichomolewa kikosini.

    XAVI Pict
  5. Paqueta mambo safi tu hajabeti

    KIUNGO wa West Ham United, Lucas Paqueta amefutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili juu ya sakata la kubeti ambalo lilikuwa likimuweka kwenye hatari ya kufungiwa soka maisha.

    PAQUETA Pict
  6. Vigogo Newcastle United wanaogopa

    MABOSI wa Newcastle wana hofu kwamba Liverpool iko tayari kutumia mbinu ya kusubiri kama ile ilivyofanya kwa Virgil van Dijk ili kuhakikisha inainasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak, ambaye...

    VIGOGO Pict
  7. NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Dabi za sasa hazina undava

    KAMA wewe ni mtoto wa 2000, huenda hii inaweza kuwa ngumu kuamini, lakini ukweli ni Dabi ya Kariakoo kwa sasa haina undava kabisa, kwani mabeki wamekuwa laini tofauti na miaka ya nyuma. Miaka ya...

    UNDAVA Pict
  8. NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Yanga, Simba hadi Pan na Red Stars

    NDIVYO ukweli ulivyo. Yanga ina kila sababu ya kujiita Baba Lao katika soka la Tanzania, kwani unaambiwa, licha ya kusumbuana kwa sasa na Simba katika ubingwa wa Ligi Kuu, lakini klabu hiyo ndio...

    PAN Pict
  9. Pogba ruksa kukipiga tena

    JUMANNE, Machi 11 ilikuwa siku ya mwisho kwa kiungo Mfaransa Paul Pogba kutumikia adhabu ya kufungiwa soka na sasa, mkali huyo wa zamani wa Manchester United na Juventus yupo huru kukipiga tena...

    POGBA Pict
  10. Mnguto ajiuzulu, Karia amsimamisha Kasongo TPLB

    Saa chache baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), kupanga tarehe ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba, Mwenyekiti wake Steven Mnguto amejiuzulu.

    mguto p
Previous

Page 40 of 959

Next