Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8841 results for Mwandishi :

  1. Slot ahuzunika kisa Luis Diaz, ilaa....

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anaamini Liverpool imefanya “biashara nzuri” kwa kupata faida kupitia mauzo ya Luis Diaz kwenda Bayern Munich lakini amesikitishwa na kuondoka kwake kutokana na...

    SLOT Pict
  2. Kocha EPL asema Man United hatari, atoa onyo

    KOCHA wa Bournemouth, Andoni Iraola amezionya klabu za Ligi Kuu England kuwa Manchester United ni “timu kali sana” baada ya kushuhudia kikosi hicho cha mashetani wekundu kikiiadhibu timu yake...

    KOCHA Pict
  3. Mzize hatihati ufunguzi Chan 2024

    STRAIKA tegemeo wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Clement Mzize yupo katika hatihati ya kucheza mechi ya ufunguzi ya fainali za michuano ya Kombe la Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (Chan)...

    MZIZE Pict
  4. Kocha Newcastle United atoa mpya dili la Isak

    KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amekiri kuwa timu hiyo inapaswa kufanya uamuzi juu ya mustakabali wa staa wao Alexander Isak ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuondoka katika dirisha hili.

    KOCHA Pict
  5. Gyokeres atoa sababu za kuzikataa Chelsea, United

    STAA mpya wa Arsenal, Viktor Gyokeres ameweka wazi sababu ambazo zilimfanya aichague timu hiyo na kukataa ofa nyingine zilizowasilishwa mezani katika dirisha hili.

    GYOKERES Pict
  6. Mabosi wa Azam wamtega Ibenge

    MABOSI wa Azam FC wamemtega kimtindo kocha mkuu wa timu hiyo, Florent Ibenge baada ya kuweka bayana malengo ya msimu wa 2025-26 kwamba ni kupiga hatua kubwa katika mashindano yote watakayoshiriki...

  7. Salah aibu! aweka rekodi mbaya Carabao Cup

    SUPASTAA, Mohamed Salah ametengeneza rekodi mbaya kabisa kwenye mechi aliyoshuhudia timu yake ya Liverpool ikikumbana na kipigo kutoka kwa Newcastle United kwenye fainali ya Kombe la Ligi...

  8. Kimenya, Elfadhili warejeshwa Prisons

    WACHEZAJI wakongwe wa Tanzania Prisons waliokuwa wamepangiwa majukumu mengine nje ya timu, Jumanne Elfadhili na Salum Kimenya wamerejeshwa na wameshajiunga na wenzao kambini ili kuongeza nguvu...

  9. Madrid 2 Atletico 1... Watoto wa Man City wasimamia shoo

    REAL Madrid imesherehekea mechi ya 500 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi mbele ya mahasimu wao wa jiji la Madrid, Atletico kwenye kipute cha hatua ya 16 bora.

  10. PRIME Kisa pointi tatu za Simba, Yanga kulipa mamilioni CAS

    MASHABIKI wa Simba wanachekelea hatua ya mchezo dhidi ya Yanga kuahirishwa, wanawatambia wenzao wa Yanga, kwamba mechi itapangwa, mtapigiwa simu moja tu kutoka juu na mtacheza, lakini wasichojua...

    YANGA Pc
Previous

Page 383 of 885

Next