Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Inonga Yanga wanae Desemba 11

    KWA akili ndefu wanazocheza Simba, kwa namna yoyote ile Henock Inonga Yanga wanaye kwenye mechi ya watani Desemba 11 Kwa Mkapa na wajiandae kisaikolojia.

  2. Kagere ndio kwaanzaa!

    KINARA wa mabao kwenye kikosi cha Simba, Meddie Kagere amesema kushindwa kupata nafasi ya kucheza kikosi hicho katika nyakati tofauti ilikuwa kama changamoto zilizomfanya kuongeza juhudi...

  3. Pablo mbinu 3 tu zinatosha Simba

    KOCHA wa Simba, Pablo Franco ameliambia Mwanaspoti kwamba kwa aina ya wachezaji aliowakuta Msimbazi mbinu tatu tu zinatosha kumpa mafanikio msimu huu. Amekiri kukutana na wachezaji wenye ubora...

  4. Mibao ya Kagere yamkolea Pablo, nahodha Yanga afunguka

    MABAO mawili aliyofunga straika wa Simba, Meddie Kagere dhidi ya Ruvu Shooting wakati Wekundu wa Msimbazi wakiizamisha Ruvu Shooting kwa mabao 3-1 yamemfanya mkali huyo kukabiribia kuandika...

  5. Pablo akiweza hapa tu ametoboa

    HIVI karibuni uongozi wa Simba umemwajiri Mhispania Pablo Franco aliyepewa mkataba wa miaka miwili ambayo ndani yake una vipengele mbalimbali vya kuhakikisha kikosi cha mabingwa hao watetezi wa...

  6. Pablo: Kwa mziki huu

    KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema kwa muda wa wiki moja aliokaa ndani ya timu hiyo amegundua mambo mengi yaliyompa mzuka, huku akiwatoa hofu mashabiki kuwa, kwa aina ya kikosi alichonacho...

  7. Barbara: Subirini muone

    KIKOSI cha Simba jioni ya jana kiliondoka Dar es Salaam, kuelekea Mwanza kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting katika Uwanja wa CCM Kirumba, huku Mtendaji Mkuu wake...

  8. Diarra, Djuma kuandika historia mpya Afrika

    IKIWA Mali na DR Congo zitafanya vizuri katika hatua ya mwisho ya mchujo ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia, kipa Djigui Diarra na beki Djuma Shaban wanaweza kuandika historia mpya...

  9. Pablo aanika tatizo la kwanza Simba

    KOCHA wa Simba, Pablo Franco amewaambia viongozi kwamba ishu ya kwanza kwenye timu ni fiziki kwani amebaini kwamba ipo chini na inahitaji kufanyiwa kazi kwa nguvu. Katika kuhakikisha hilo...

  10. Saa 6 tu, Simba wote kambini, ole wako uchelewe

    KOCHA mpya wa Simba, Mhispania Pablo Franco amewaambia viongozi kwamba kila mchezaji afike kambini leo kwa wakati. Alitoa mapumziko ya siku moja kwa wachezaji wake tisa waliokuwa kambini Taifa...

Previous

Page 39 of 89

Next