Dah! Pogba apata kimeo kingine KIUNGO wa AS Monaco, Paul Pogba amepata pigo baada ya kuumia na sasa ataendelea kusubiri kabla ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye kikosi hicho cha miamba ya Ufaransa.
Winga Real Madrid na Everton, Drenthe, apata kiharusi Winga wa zamani wa Real Madrid na Everton, Royston Drenthe, amelazwa hospitalini baada ya kupata kiharusi.
Guardiola: Huyu Cherki anajua sana KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola akiri amekuwa akikoshwa sana na mchango unaofanywa na staa wake mpya, Rayan Cherki katika kikosi hicho cha Etihad.
Mayele, Kapombe kwenye vita yao CAF Fiston Mayele na Shomari Kapombe hawajakutana uwanjani tangu Mayele alipojiunga na Pyramids FC ya Misri mwaka 2023 akitokea Yanga.
Simba, Yanga na Azam zapata shavu Russia Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi.
Ishu ya Saka ndo hivyo, kukaa nje miezi miwili STAA wa Arsenal, Bukayo Saka anatazamiwa kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli ya paja
Diallo ajitia kitanzi Manchester United Amad Diallo ameonyesha furaha yake na kuahidi kuendelea kufanya makubwa katika klabu ya Manchester United baada ya kusaini mkata mpya hadi 2030.
Gor Mahia yaanza kwa kipigo Ligi ya Mabingwa BAO pekee lililofungwa dakika ya 64 na Mohammed Mussa wa Al Merrikh Benteu ya Susan Kusini limeizamisha Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya awali ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
Konshens aachia kichupa cha Shake It MSANII maarufu wa kimataifa wa Jamaica, Konshens, ameachia wimbo mpya uitwao ‘Shake It’ ukiwa katika audio na video.
Serikali kuongeza ulizi Kwa Mkapa, kamera 200 kufungwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi ya 200.