Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. YANGA YANASA KIBERENGE KIPYA

    MABOSI wa Yanga, wajanja sana, baada ya kufahamu wazi kuwa msimu ujao hawatakuwa na winga wao teleza, Simon Msuva, anayejiandaa kwenda kucheza soka la kulipwa Morocco, fasta wameamua kufanya...

  2. Mabadiliko Simba yala vichwa 15

    SIMBA ipo katika harakati za kuboresha kikosi chake kuelekea kwenye mashindano ya kimataifa mwakani, lakini wimbi hilo limepita na vichwa 15 ambavyo vimepunguzwa ili kupisha nguvu mpya.

  3. Taifa Star uso kwa uso Lesotho

    Tanzania 'Taifa Stars' itaanza harakati zake za kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika 2019, kesho Jumamosi kwa kuikabili Lesotho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi saa 2:00 usiku.

  4. Azam kama inamaanisha kweli, imchukue Maxime

    AZAM FC imenuia kuwa timu ya kawaida kuanzia msimu ujao wa mashindano. Mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu wamechoshwa na ubabaishaji wa soka la Bongo na sasa wanataka kuwa timu ya kawaida.

  5. Mwinyi, Aggrey watemwa Stars

    Beki wa Azam, Gadiel Michael na beki wa Prisons Nurdin Chona wameitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kinachoondoka leo kwenda Misri kuweka kambi ya siku nane

  6. Serengeti Boys yasaka Sh167Mil kwa Niger

    Mbali ya kupata tiketi ya kushirki Kombe la Dunia kwa vijana wenye miaka 17, matokeo ya sare au ushindi kwa timu ya vijana ya Tanzania 'Serengeti Boys' dhidi ya Niger leo, timu hiyo itafanikiwa...

  7. Mayanga aita 24, Stars safari ya 2019, Cameroon

    Kocha wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga ameita kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Afcon 2019.

  8. Ngumi Taifa yaita 20

    SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza kikosi cha mabondia 20, watano kati yao wakiwa ni wawake kwa ajili ya kuunda timu ya taifa itakayojiandaa na michuano ya Afrika itakayofanyika kati...

  9. Simba yajiandaa kwa penalti

    Simba SC imehitimisha kambi ya siku nne ya kujiandaa na mchezo nusu fainali Kombe la FA dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

  10. Jicho la Mayanga limeweza kukusanya kundi zuri Stars

    HII ndio moja kati ya faida ya kuwa na kocha anayewajua kiundani wanasoka wa nchi hii. Kocha ambaye amekuwa akikutana na mikikimikiki ya wachezaji kwenye Ligi Kuu Bara na hata kwenye michezo ya...

Previous

Page 39 of 48

Next