JKU yapiga mtu 9-0 Ligi Kuu Zanzibar WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU juzi walitoa dozi ya maana baada ya kifumua Mwenge kwa mabao 9-0 na katika mechi ya upande mmoja ya ligi hiyo, huku nyota wa timu hiyo Mudrik Abdi Shehe...
Feitoto afunguka alichozungumza na kocha Mokwena wa Wydad KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema alikuwa na wakati mzuri na kocha wa Wydad Casablanca, Rhulani Mokwena ambaye amempa mbinu za kuendelea kuwa bora.
Awesu mzuka umepanda KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Awesu Awesu ameshatua kambini sambamba na winga Mcameroon, Willy Onana na kuweka bayana anavyojisikia kuanza mazoezi na timu aliyokuwa akiiota kwa muda mrefu...
NGUMI JIWE ULAYA! Arsenal vs PSV, Liverpool vs PSG ARSENAL, Liverpool na Aston Villa zimeshafahamu wapinzani gani watakutana nao kwenye raundi ya 16 bora ya mtoano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya upangaji wa droo iliyofanyika Ijumaa.
Refa wa Man United ameonyeshwa picha sio REFA wa zamani wa Ligi Kuu England, Mark Halsey ameishambulia VAR akisema ni ya hovyo baada ya kuinyima Everton nafasi ya kushinda mechi kwenye sare ya 2-2 dhidi ya Manchester United uwanjani...
Slot kupoteza watatu Liverpool LICHA ya kuwa na msimu mzuri katika michuano yote ikiwa pamoja na kuongoza msimamo wa Ligi Kuu England, Liverpool inatarajiwa kuuza wachezaji watatu wa kikosi chao cha kwanza mbali ya wale...
Real Madrid, PSG zatanguliza mguu 16 Bora UEFA MICHEZO ya mtoano ya kuwania kufuzu kucheza hatua ya 16 bora inaendelea ambapo jana kulikuwa na mechi nne na iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu zaidi ni ile kati ya Real Madrid na Manchester City.
Haya sasa... Arteta amepata dawa KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri anaweza kufanya uamuzi mkubwa juu ya nani atachukua nafasi ya Kai Havertz katika safu yao ya ushambuliaji.
Dabi ya Mashemeji kupigwa Tanzania, Uganda MWENYEKITI wa AFC Leopards, Dan Shikanda amesema iwapo mchezo wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) dhidi ya Gor Mahia unaotambulika kwa jina la 'Mashemeji Derby', uliopangwa kuchezwa Jumapili ya Machi 2...
PRIME Kisa Mpanzu... Simba wakuna vichwa Simba ilimsajili Mpanzu tangu Septemba mwaka huu muda mchache baada ya dirisha kubwa la usajili kufungwa Agosti 31 na ilinezwa angeanza kutumika mara dirisha dogo lililofunguliwa tangu Jumapili...