Morocco yaweka rekodi CHAN ikitwaa ubingwa MOROCCO imeweka rekodi mpya katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kutwaa taji la tatu ikiwa ndiyo timu iliyochukua mara nyingi zaidi.
Liverpool v Arsenal, gemu ya Eze! LIVERPOOL na Arsenal kinapigwa Jumapili ikiwa ni moja ya mechi ya kibabe kabisa ya msimu.
Baleke aibukia Rayon Sports STRAIKA wa zamani wa TP Mazembe, Simba na Yanga, Jean Baleke ametua Rayon Sports ya Rwanda kwa kupewa mwaka mmoja wa kuitumikia klabu hiyo iliyomaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Rwanda...
Jackson anuna, Bayern Munich yafunguka NYOTA wa Chelsea na timu ya taifa ya Senegal, Nicolas Jackson, ameripotiwa kuchukizwa vibaya na kuvunjika kwa mpango wake wa kujiunga na Bayern Munich kwa mkopo, licha ya kuwa tayari alishatua...
EPL 2025/25 imeanza kibabe sana YES. Mzigo ulirudi rasmi wiki iliyopita. Waliolia wamelia, waliocheka wamecheka, lakini mbali ya mato-keo ambayo yalitokea kwa timu mbalimbali, pia kuna rekodi kibao zilizowekwa na timu pamona na...
Ya Manchester United, yamkuta Rashford Barca NYOTA wa Barcelona, Marcus Rashford yamemkuta kama yaliyotokea akiwa na kikosi cha Manchester United kwa kupewa adhabu ndogo ya kukaa benchi na kucheza kipindi kimoja kwa kosa la kuchelewa kikao...
Mayweather, Tyson kuzichapa MABONDIA maarufu wa ngumi za uzito wa juu duniani, Floyd Mayweather na Mike Tyson wanatarajiwa kuzichapa katika pambano la ndoto zao ambalo litakuwa la maonyesho, huku kila mmoja akianza tambo.
Huko mtandaoni unapata hadi safari za bure Moja ya majukwaa la kidijitali yanayoendesha minada ya kipekee mitandaoni limezindua bidhaa yake mpya itakayowapa washiriki nafasi ya kujishindia koponi yenye thamani ya Sh100,000 kwa matumizi ya...
Kisa kuongoza mgomo, kocha, mastaa Guinea ya Ikweta watimuliwa GUINEA ya Ikweta, imemfuta kazi kocha wao Juan Micha na kuwaondoa baadhi ya wachezaji muhimu kikosini baada ya mgomo uliosababisha timu hiyo kushindwa kusafiri kwenda Malawi kwa ajili ya mechi ya...