Kombe la Dunia 2022 kuja na mpya RAIS wa Fifa, Gianni Infantino, anaendelea kusisitiza pendekezo lake la kupanua wigo wa timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2022 kutoka 32 hadi 48, kuwa litaongeza ujirani mwema baina ya nchi...
NIACHE :Sichezi lakini ni suala la muda tu UWEZO wa kufunga mabao ni kitu pekee kinachomtofautisha mshambuliaji na mchezaji wa nafasi nyingine. Mashabiki wanaweza kukuita galasa endapo utashindwa kupachika mabao kama ilivyokuwa kwa...
VICHAPO : Robben atoa sababu Bayern kuvurunda hasa mwezi aprili TOLEO lililopita kwenye Kitabu cha Pep Confidential, Mwandishi, Marti Perarnau aliendelea na mazungumzo na Arjen Robben kubwa walilojadili ni jinsi mchezaji huyo alivyomchukulia Kocha, Pep...
Robben afurahia kufanya kazi na Pep, adai hakuna anayemfikia ubora KATIKA toleo lililopita kwenye kitabu cha Pep Confidential, mwandishi, Marti Perarnau alifanya mahojiano na mchezaji Javi Martinez kuhusu nafasi yake katika kikosi cha Bayern na namna...
Federer agoma kupokea Dola 1 milioni za Saudi Arabia Mcheza tenisi mahiri wa Uswisi, Roger Federer, ameipuuza na kukataa ofa ya Dola 1 milioni kutoka Serikali ya Saudi Arabia ili kucheza mechi za mashindano maalumu ‘Super Match’.
VIDEO: Watu 12 washikiliwa sakata la kutekwa Mo Dewji Mapema leo asubuhi Mambosasa alitaja idadi ya wafanyakazi watatu wa hoteli hiyo ndiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.
KATIBA MPYA SIMBA: WAJUMBE SABA TU WANATOSHA BODI YA WAKURUGENZI Wajumbe saba waliochaguliwa na kuteuliwa kwa mujibu wa ibara ya 27 watakuwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi na watafanya kazi kwa mujibu wa kanuni zinazoongoza bodi ya wakurugenzi zilizoidhinishwa...
Hizi ndio haki za wanachama Simba JANA Jumatatu tuliona jinsi ambavyo mwanachama wa Simba anavyoweza kuchukuliwa hatua endapo atapeleka masuala ya michezo hususan soka mahakamani. Pia, Katiba hiyo inaeleza namna ambavyo...
UJANJA TU: Pep anachambua matukio yote ya mechi nzima KATIKA toleo lililopita kwenye uchambuzi wa kitabu cha Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alielezea namna Kocha Pep Guardiola alivyo na tabia ya kuwafanyia tathmini wachezaji wake...
Dada wa Diamond afunguka sakata la vipodozi feki Kipindi cha 'Nyumba ya Imani' kinatarajiwa kurushwa na Wasafi TV ambayo Mkurugenzi Mkuu ni Abdul Naseeb 'Diamond'.