Van Dijk: Hali haikuwa nzuri Liverpool, niliitisha kikao cha wachezaji
Imefahamika kuwa, beki na nahodha wa Liverpool, Virgil Van Dijk, aliitisha mkutano wa wazi wa wachezaji wenzake, ili kuzungumzia masuala mbalimbali ya timu hiyo, ambayo ilipitia changamoto za...