PRIME Mkali wa asisti Simba amfurahisha Fadlu Davids KIUNGO mshambuliaji wa Simba anayeongoza kwa asisti kwa sasa katika Ligi Kuu Bara, Jean Charles Ahoua amerejea tena uwanjani akiwa fiti kwa asilimia 100 tayari kuivaa Al Ahli Tripoli ya Libya...
PRIME Nabi atoa sababu kuikataa Azam FC AZAM FC imemtangaza Rachid Taoussi kuwa kocha mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuchukua nafasi ya Youssouf Dabo, lakini kabla ya kutua kwa Mmorocco huyo, ilidaiwa klabu hiyo ilikuwa ikimwinda...
Yao aishusha presha Yanga YANGA inaendelea kujifua Dar es Salaam ikijiandaa na mchezo wa kwanza wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya Ethiopia utakaopigwa Jumamosi ijayo jijini Addis Ababa, huku...
Yohana: Kwa tizi, Dube ni msumbufu balaa WENGI wanajiuliza mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, amewezaje kuendelea kuwa bora licha ya kukaa nje ya uwanja kwa takriban miezi sita bila kucheza wakati akipambana kuachana na Azam FC.
Djuma Shaban atimkia Ufaransa BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa wiki moja kabla ya kurejea...
Majina mawili mezani makocha Coastal Union WAKATI Coastal Union ikiendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya mezani kwa mabosi wa kikosi hicho kuna majina mawili ambapo kama yaatapita basi kuna uwezekano wakawa ni kocha mkuu na msaidizi wake.
Freddy arudi ghafla, ajifua na mastaa wa Yanga BAADA ya kusepa Simba, mshambuliaji Freddy Kouablan amerejea nchini kimya kimya, lakini akashtua kujifua na mastaa wa Yanga.
14 wampasua kichwa Gamondi LIGI Kuu Bara imesimama kwa wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa mechi za kimataifa za timu za taifa, huku kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi kwa sasa akifunga na kuomba ili mastaa 14 wa timu...
PRIME Fadlu: Leonel Ateba gari limewaka KAMA ulikuwa unajiuliza maswali kuhusu kutokuonekana uwanjani kwa mshambuliaji mpya wa Simba Leonel Ateba basi majibu yamepatikana,baada ya kocha wake Fadlu Davids kusisitiza kuwa alikuwa jikoni...
DENZEL: Kiba kanikutanisha na Jakaya Kikwete ILIPOISHIA, jana katika mahojiano maalumu na mkufunzi wa mazoezi ya viungo katika gym, Godfrey Mkinga maarufu kanma Denzel Trainer alizungumzia namna alivyowarejeshea kasi uwanjani mastaa wa...