Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9580 results for Mwandishi :

  1. Yanga yawavuruga maafande

    Yanga imefanikiwa kumaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza ikiongoza kwa mabao mawili dhidi ya maafande JKT Tanzania katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

  2. Simba yamleta fundi Msauzi

    Mabosi wa Simba katika kuhakikisha wanalisuka benchi la ufundi kuwa imara zaidi ya wakati huu baada ya kumtambulisha kocha wa makipa, Chlouha Zakaria muda wowote kuanzia sasa wanamalizana na...

  3. Kisa CAF, Yanga v Namungo zapewa tarehe

    BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga na kutangaza tarehe za kufanyika kwa michezo mitatu ya Ligi Kuu ya NBC ambayo hapo awali haikupangiwa tarehe.

  4. Kocha Gomez, Morrison watuma barua Congo

    Mchezo kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

  5. Mirambo achukua mikoba ya Kidao TFF

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Kidao Wilfred ambaye mkataba wake unafikia tamati Septemba 30 mwaka huu.

  6. Yanga yamvunjia mkataba Folz, Mabedi achukua mikoba

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja rasmi mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, ambaye amejiunga na timu hiyo mwanzo wa msimu.

  7. Yanga yaifuata Silver Strikers, Ali Kamwe azungumzia yatakayomkuta Mabedi

    Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi ya raundi ya pili...

    YANGA Pict
  8. Ahmad Ally msaidizi wa Gamondi Taifa Stars

    Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

  9. Ujenzi wa Samia Complex Arusha wafikia asilimia 25

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa michezo wa Arusha uliopewa jin la Samia Complex unaotarajiwa...

  10. Mashabiki Wydad wamvaa Mzize

    Wakati mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize akiendelea kuhusishwa na klabu ya Wydad, mashabiki wa timu hiyo wamevamia kwenye ukurasa wake wa Instagram wakimkaribisha kwenye timu yao.

    Mzize Pict
Previous

Page 31 of 958

Next