Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yammy achekelea usupastaa kumlipa  

Muktasari:

  • Msanii huyo alifikia hatua hiyo baada ya kusema kuwa, kabla ya kuingia kwenye muizki hakuwa na marafiki lakini baada ya kuingia katika fani hiyo na kuwa maarufu amekuwa na idadi kubwa ya marafiki.

MWIMBAJI wa kwanza aliyesainiwa Lebo ya The African Princess ya Nandy, mwanadada Yammy amekiri hakuna anajua kama uhusiano wa krafiki na watu maarufu unalipa hadi baada ya kushangazwa kupata  marafiki wengi wanamobeba kwa sasa katika faini hiyo.

Msanii huyo alifikia hatua hiyo baada ya kusema kuwa, kabla ya kuingia kwenye muizki hakuwa na marafiki lakini baada ya kuingia katika fani hiyo na kuwa maarufu amekuwa na idadi kubwa ya marafiki.

“Nashukuru kwa sasa najulikana na naamini huku kujulikana kwangu na kazi zangu ninazofanya vizuri ndio unaonipa marafiki ndani ya Tanzania na kuongeza na wa nje ya nchi,” alimaliza Yammy.

Mwimbaji huyo anayekuja juu anatamba na ngoma kadha ikiwamo Upepo, Tirirka, Kiuno huku akishirikisha na mastaa kiwaboa akiwamo bosi wake, Nandy katika Lonely, Abdukiba, Dully Sykes na Barnaba.