Nkuku anavyotolewa macho viunga vya Arsenal ARSENAL inafikiria kumsajili straika wa Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa, Christopher Nkunku, 27, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika lengo la kuboresha safu ya...
Chelsea yapewa uwanja London MKURUGENZI wa shirikisho la mchezo wa Rugby England, Bill Sweeney, yupo tayari kuwaruhusu Chelsea kutumia Uwanja wa Twickenham wakati wanaufanyia maboresho uwanja wao wa Stamford Bridge.
Klopp aitaka Real Madrid, Ujerumani RAFIKI wa karibu wa Jurgen Klopp, Miroslav Tanjga amedai kocha huyo anataka kuifundisha Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani kabla ya kustaafu.
Pogba? Subirini kidogo STAA wa zamani wa Juventus, Paul Pogba amezungumza kuhusu wapi anaweza kutua katika dirisha lijalo akisisitiza kwamba hadi sasa mambo bado.
Mikel Obi afichua usajili wa Osimhen RAFIKI wa Victor Osimhen ambaye ni mchezaji wa zamani wa Chelsea, John Obi Mikel amesema staa huyo anatamani na anataka kucheza Chelsea licha ya tetesi zinazodai kwamba yupo karibu kutua...
Arsenal V PSG, London itasimama ILIKUWA wikiendi murua kwa mashabiki wa Liverpool. Wikiendi ya kihistoria. Mataji 20 ya Ligi Kuu England, Jiji la Liverpool lilichafuka kwa shangwe, starehe, watu walikunywa, wakala na starehe za...
PRIME Je, unafahamu wachezaji wanavyobeti Ligi Kuu Bara? UBASHIRI katika mechi za soka umeanza kuwa janga ukidaiwa kuingia kwa kasi, huku malalamiko kutoka katika baadhi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara hususani zile za chini yakianza kuibuka...
Vigogo wapigana vikumbo kwa Jonathan David NEWCASTLE United, Manchester United, Tottenham, West Ham, Chelsea, na Liverpool zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Lille na timu ya taifa ya Canada, Jonathan David, 25, dirisha lijalo...
Duh! Amorim hafiki Krismasi KIUNGO wa zamani wa Tottenham, Jamie O'Hara amesema haoni kama kocha wa Manchester United, Ruben Amorim ataendelea kusalia kwenye timu baada ya Krismasi ya mwaka huu.
Hawa wameoga tu, mjini hawaendi BAADA ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu England jana, moja kati ya mtihani mwingine ambao unawakabili Liverpool kwa sasa ni kuamua nani atavaa medali na nani hatovaa.