Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9762 results for Mwandishi :

  1. Ahadi ya Rio kwa soka la Tanzania

    Nyota wa zamani wa Manchestsr United na England, Rio Ferdinand jana alianza rasmi ziara yake nchini kwa mapokezi makubwa huku akitoa ahadi ya kuhakikisha analisaidia soka la Tanzania kupiga hatua.

  2. Ghetto Kids kutumbuiza na Shakira Kombe la Dunia 2026

    Kundi maarufu la watoto wanaocheza muziki kutoka Uganda, Ghetto Kids, limepata nafasi kubwa ya kimataifa baada ya kualikwa na staa wa muziki kutoka Colombia, Shakira kushiriki kwenye burudani ya...

  3. Tuchel avujisha kikosi cha England, Danny Welbeck yumo

    KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya England, Thomas Tuchel, anatarajiwa kuwasilisha orodha ya awali ya wachezaji 55 kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026. Hata hivyo, majina matatu ya wachezaji...

    TUCHEL Pict
  4. Kamba ya pamoja huvuta mzigo mzito, Yanga yakamilisha faini

    Mashabiki na wanachama wa klabu ya Yanga wameonyesha jeuri ya fedha baada ya kufanikisha kuchangisha zaidi ya Sh31 milioni kwa ajili ya kulipa faini iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji na...

  5. Gary Neville ashtushwa na taarifa za kuondoka kwa Guardiola

    Habari za ghafla kuhusu kuondoka kwa kocha wa Manchester City, Pep Guardiola zimegonga vichwa vya habari na kumshtua mchambuzi wa soka Gary Neville, huku zikitokea katikati ya mchezo wa Arsenal...

    NEVILLE Pict
  6. Namungo, Mbeya City hakuna mbabe

    MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya Namungo dhidi ya Mbeya City, imeshindwa kutoa mshindi, baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 zikifungana bao 1-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi.

  7. ‘The Special One’ atajwa kuwa mrithi wa Arbeloa Real Madrid!

    KOCHA wa Benfica, Jose Mourinho ‘The Special One’ ameripotiwa kuhusishwa na kurejea Real Madrid kuelekea msimu ujao kwani tayari mabosi wa timu hiyo wameanza mazungumzo na wawakilishi wake.

    MOURINHO Pict
  8. Bingwa Muungano Cup kubeba Sh150 milioni

    BINGWA wa Kombe la Muungano 2026, atazawadiwa Sh150 milioni, zawadi ambayo ni mara tatu ya mashindano yaliyopita.

    MUUNGANO Pict
  9. Jose Mourinho atajwa Newcastle United

    KOCHA wa Benfica, Jose Mourinho anaweza kurejea katika Ligi Kuu England baada ya uongozi wa Newcastle United kudaiwa unafikiria kumwajiri kuelekea msimu ujao.

    MOURINHO Pict
  10. Wizara ya Maliasili na Utalii mguu sawa kuelekea AFCON 2027

    WIZARA ya Maliasili na Utalii, imewahakikishia wawekezaji na wadau wa michezo ushirikiano wa kutosha kuwezesha ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya kisasa ili kuongeza thamani ya vivutio vya...

    AFCON Pict
Previous

Page 300 of 977

Next