Mosquera amtia presha Arteta, majeruhi kibao KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha beki Cristhian Mosquera anakabiliwa na wiki kadhaa za kukaa nje ya uwanja kutokana na kusumbuliwa na maumivu aliyopata kwenye mechi ya kipigo kutoka...
Wasanii kikapu ni mchezo wao NI swali ambalo baadhi ya watu wamekuwa wakijuliza sababu zinazowafanya wasanii wa muziki, waigizaji na wanamitindo kupenda mchezo wa kikapu.
Mane afichua kwa nini aliikataa Man United na kutimkia Anfield Hatimaye mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Sadio Mané, amefichua kuwa alikataa kusajiliwa na Manchester United na badala yake akaamua kujiunga na Liverpool mwaka 2016.
Kipa Singida Black Stars aibua gumzo Nigeria Gwiji wa soka nchini Nigeria, Yakubu Aiyegbeni, ameibuka na kuhoji uamuzi wa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Eric Chelle, wa kumjumuisha kipa anayekipiga nchini Tanzania, Amas Obasogie...
Wales yapewa 30%, Italia 62% kufuzu WALES imepewa nafasi ya asilimia 30 ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2026.
Kumbe kiboko ya Bale ni Richards GARETH Bale amefunguka Micah Richards ndiye beki mgumu zaidi aliyekuwa akimpa shida uwanjani wakati walipokuwa wakikipiga.
Bendera kubwa, maonesho ya fataki nyimbo FIFA imezindua kile ilichokieleza kuwa ni utaratibu mpya wa kipekee na wa kuvutia zaidi wa sherehe za kabla ya kuanza kwa mechi yote ya Kombe la Dunia la 2026.
Scaloni: Sina uamuzi wa mwisho, kila kitu Messi TIMU ya taifa ya Argentina inajiandaa kutetea taji lake la mabingwa wa dunia zikiwa zimebaki siku sita kabla ya Kombe la Dunia kuanza nchini Mexico, Marekani na Canada, huku wakiwa na matarajio...
Eriksen aanguka uwanjani, Denmark yatoa taarifa HOFU kubwa ilitanda katika ulimwengu wa soka baada ya kiungo mkongwe wa Denmark, Christian Eriksen kuanguka ghafla uwanjani wakati wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Ukraine.
Marie-Louise Eta kocha wa Union Berlin, aandika historia Bundesliga UNION Berlin imemteua Marie-Louise Eta kuwa kocha hadi mwisho wa msimu kufuatia kipigo dhidi ya Heidenheim, ambapo anakuwa kocha wa kwanza mwanamke kufundisha timu ya Ligi Kuu Ujerumani...