Ronaldo anabipu watu wanampigia AL-Nassr hawatamzuia Cristiano Ronaldo iwapo nyota huyo mwenye hasira ataamua kushikilia msimamo wa kuondoka wakati wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi, huku kipengele cha kuvunja...
Rekodi tamu ya JKT Tanzania msimu huu 2025/26 BAADA ya ushindi dhidi ya Mashujaa ikifikisha pointi 27 kwenye mechi 15 ilizocheza, JKT Tanzania imebakiza tatu za ushindi ambazo ni sawa na pointi tisa ili kufikia rekodi ya alama 36...
Mbio za ubingwa EPL… Ukijichanganya, unachanganyikiwa! MBIO za ubingwa zina kila dalili ya kuwa za kihistoria. Na jambo ambalo sasa liko wazi kabisa ni kwamba Manchester City iko tayari kupambana na Arsenal hadi hatua ya mwisho.
Crouch, Keown wabishana kuhusu Eze wa Arsenal NOMA sana. Staa, Eberechi Eze ameambiwa kuwa Mikel Arteta “hamkubali sana” kufuatia kikosi hicho kubanwa na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu England uliofanyika Alhamisi iliyopita.
Spurs yamchukua Tudor aokoe jahazi TOTTENHAM Hotspur imemgeukia Igor Tudor kuwa kocha wa muda hadi mwisho wa msimu.
Barca ikimtosa Rashford fresh tu NDO hivyo. Barcelona haitatozwa faini yoyote ya kifedha iwapo itaamua kusitisha mpango wa kumsajili jumla mshambuliaji Marcus Rashford mwishoni mwa msimu huu wakati mkopo wake utakapofika tamati.
Slot aweka wazi hatma ya Ibrahima Konate KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefunguka kuhusu mustakabali wa beki kisiki wa timu hiyo raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.
Waarabu warudi upya kwa Mo Salah KLABU za Saudi Arabia tayari zimeanza mchakato wa kumnasa supastaa wa Liverpool, Mohamed Salah.
Magwiji waungana ishu ya Mainoo RIO Ferdinand ameungana na Paul Scholes kumkosoa kocha Ruben Amorim kutokana na kile anachomfanyia Kobbie Mainoo na hivyo kumtaka zao hilo la akademia ya Manchester United kuondoka kwenye klabu...
Majeruhi wamtia presha Arteta ARSENAL imepoteza mechi yake ya kwanza tangu Septemba baada ya kulala 2-1 dhidi ya Aston Villa Jumamosi na kuleta presha katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England.