Raphinha aingia anga za Newcastle United MABOSI wa Newcastle United wapo tayari kuwasilisha ofa kubwa kwa ajili ya kumsajili winga wa kimataifa wa Brazil, Raphinha, 28, ikiwa Barcelona itakuwa tayari kumuuza mwisho wa msimu huu.
Man United yashinda ugenini, ikiichapa Crystal Palace BAADA ya kupita katika kipindi kigumu cha kutopata ushindi katika mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu England, wikiendi iliyopita Manchester United ilifanikiwa kupata ushindi mbele ya Crystal Palace...
Bosi Bayern afunguka ishu ya Kane kutua Barca MKURUGENZI wa michezo wa Bayern Munich, Max Eberl, ameatoa taarifa ya kutatanisha kuhusu mustakabali wa Harry Kane, akisema mshambuliaji huyo “anajua kabisa anachotaka”.
Burna Boy ashtuka, afuta shoo Marekani NYOTA wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Burna Boy, anaripotiwa kufuta maonyesho yake matano yajayo katika ziara inayoendelea ya No Sign of Weakness (NSOW) huko Marekani na chanzo cha kufutwa...
Kocha Spurs awageuzia kibao mashabiki KOCHA wa Tottenham, Thomas Frank amegeukia mashabiki wa timu hiyo na kuwachana kwa tukio lao la kumzomea kipa Guglielmo Vicario wakati wa mechi yao dhidi ya Fulham.
Man Uniuted yatua kwa Valverde MANCHESTER United ipo kwenye mstari wa mbele ikifanya mazungumzo na wakala wa nyota wa Real Madrid, Federico Valverde ili kumsajili katika dirisha lijalo
Mtoto aamini P Diddy ataachiwa kabla ya X-Mass KING Combs, mtoto wa kiume wa Rapa na Mfanyabiashara maarufu duniani, Sean ‘Diddy’ Combs amesema anaamini baba yake anaweza kuachiwa mapema kutoka gerezani kabla ya msimu wa Krismasi.
Elton John afichua upofu wa miezi 15 MWIMBAJI mkongwe wa muziki duniani kutoka Uingereza, Sir Elton John amefichua amekuwa akipambana na hali ya upofu kwa takriban miezi 15 iliyopita.
Kwanza Klopp, kisha Enrique LIVERPOOL itamgeukia kocha wake wa zamani, Jurgen Klopp kupiga mzigo upya huko Anfield itakapoamua kumfuta kazi Arne Slot kabla ya kutafuta namna kumpata kocha inayemtaka ambaye ni Luis Enrique.