Majeruhi wamtia presha Arteta ARSENAL imepoteza mechi yake ya kwanza tangu Septemba baada ya kulala 2-1 dhidi ya Aston Villa Jumamosi na kuleta presha katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England.
KMC yaachana na Maximo baada ya siku 131 SIKU 131 zimetosha kwa Marcio Maximo kuwa Kocha wa KMC, baada ya klabu hiyo leo Desemba 6, 2025 kutangaza kusitisha mkataba wake.
AFCON 2025: Mwali atasakwa kwenye nyasi hizi HAZIZIDI wiki mbili kabla ya kuanza kwa mchakamchaka wa mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco na hamu ya wengi ipo kwenye viwanja venye viwango vya dunia vitakavyotumika kwenye michuano mikubwa...
Makundi ya mtego, visasi Kombe la Dunia Makundi ya Fainali za Kombe la Dunia 2026 yamejulikana rasmi leo, Ijumaa, Desemba 5, 2025 baada ya kukamilika kwa droo ya upangaji wake iliyofanyika huko Washington DC, Marekani.
Wenger kawajaza England, kisha kawakataa KOCHA, Arsene Wenger amesema England inaweza kushinda Kombe la Dunia, lakini amekiri kikosi cha Three Lions haina ubora kama Ufaransa.
Makundi Fainali za Kombe la Dunia 2026 haya hapa Droo ya Fainali za Kombe la Dunia 2026, imefanyika Ijumaa ya Desemba 5, 2025 katika Ukumbi wa Kennedy uliopo mjini Washington nchini Marekani.
Jichanganye, uchanganywe! Arsenal haikati utani EPL NDO hivyo. Arsenal iko siriazi kwenye kuusaka ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu. Pointi 33 kileleni baada ya mechi 14, ikishinda 10, sare tatu na kupoteza moja tu.
Trump atunukiwa Tuzo ya Amani ya FIFA Rais wa Marekani, Donald Trump, amepokea Tuzo ya Amani ya FIFA ya kwanza kabla ya droo ya Kombe la Dunia la Fifa 2026 iliyofanyika Desemba 5, 2025 huko Washington, Marekani.
Singida Black Stars v TRA United kazi ipo hapa! BAADA ya vigogo vya soka Simba na Yanga kumaliza kazi juzi kwa ushindi nyumbani dhidi ya Fountain Gate na Mbeya City mtawalia, uhondo wa Ligi Kuu Bara unaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za...
Galatasaray yaingilia dili la Waarabu kwa Mohamed Salah VIGOGO wa Uturuki, Galatasaray, wanapanga kuingilia mipango ya timu za Ligi Kuu ya Saudi Arabia kwa kumshawishi mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah kukubali ofa yao ya mshahara wa Pauni 16...