Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. MASTORI YA OSCAR: Unaijua hadithi ya Messi na Guardiola?

    LEO tusizungumze mambo magumu. Maisha tayari ni magumu. Sasa kwa nini tuzidi kuyafanya magumu kwa kuzungumza vitu vigumu kila siku? Mzee wa Kaliua leo anataka tuzungumze mambo rahisi kidogo.

  2. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Simba na Yanga ni mechi kubwa lakini sio tofauti

    JUMAMOSI jiji la mipango mingi Dar es Salaam litasimama tena kwa dakika 90. Inapigwa mechi kubwa zaidi nchini, Simba na Yanga wanakutana katika mechi ya ufunguzi wa ligi. Mechi ya ngao ya jamii.

  3. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Unaijua Yanga au unaisikia?

    YANGA wakatangaza kuongeza mikataba na wachezaji wawili raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Yanick Bangala na Djuma Shabaan. Bangala amekuwa mchezaji bora wa msimu. Bila shaka Djuma ndiye...

  4. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Ubalozi wa Mandonga na wafuasi wa Fei Toto, Manula

    MAJUZI niliona mahali kwamba, bondia aliyechakazwa vibaya sana kule Morogoro katika moja ya yale mapambano ya ufunguzi wakati Twaha Kiduku anapigana kwa mara ya mwisho, Karim Mandonga amepata...

  5. Tunawezesha Taifa

    utamaduni wa kusoma magazeti hasa vijana, kwani wanasema wana namna zao za kupata taarifa na hapa ndipo teknolojia inapokuja,  hivyo ni lazima tubadilike kwenda na kasi hiyo kwa kuwa wabunifu...

  6. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kuna ulazima wa timu zetu kwenda nje?

    NI kawaida sana kipindi kama hiki cha maandalizi ya msimu mpya kuwaona Liverpool na FC Barcelona wakiwa nchini Marekani. Ni kawaida muda kama huu kuwaona Manchester United wakiwa barani Asia...

  7. MASTORY YA OSCAR: Nimemuwaza huyu Ninja mara tatu

    SAJILI zote za Yanga zikatikisa. Wakasimamisha nchi mpaka kwa kufanya utambulisho usiku wa manane. Kabla ya hapo walijivunia kuwaongezea mikataba baadhi ya wachezaji wao muhimu. Shomari Kibwana,...

  8. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kocha wa Yanga atapona kweli msimu ujao?

    HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo...

  9. Prisons bado wapo sana Ligi Kuu

    , Ramadhan Kayoko akimaliza dakika 45 za kwanza, benchi la ufundi la Prisons liliwafuata waamuzi hao wakionekana kuwatupia lawama kwa uamuzi hao. Kama haitoshi wakati wachezaji wakiingia vyumbani...

  10. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Nani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu?

    USIKU wa leo pale Rotana Hotel ndipo mijadala itakapoanzia tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zitakapotolewa. Haitokei Tanzania tu bali Dunia nzima, tuzo huwagawa wadau katika makundi...

Previous

Page 29 of 98

Next