Graeme Souness: Manchester United wa kawaida sana MCHEZAJI wa zamani wa Liverpool, Graeme Souness amesema kuwa suala la Manchester United kumaliza ndani ya nafasi nne za juu na kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya bado ni ndoto kwani ni timu ya...
Victor Mwandike afariki dunia akiacha historia Kariakoo Derby Refa mstaafu wa kimataifa wa Tanzania, Victor Mwandike, amefariki dunia leo Alhamisi Desemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam.
Siri ya Haaland, Jude Old Traford yavuja MANCHESTER United ingeweza kuwasajili wachezaji watatu bora zaidi duniani kwa gharama ndogo, lakini badala yake ilitumia fedha nyingi kuwasajili wachezaji wengine ambao kwa sasa wanaonekana kuwa...
Mkwanja waongezwa Kombe la Dunia 2026 SHIRIKISHO la Soka la England pamoja na mashirikisho mengine yatakayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia mwakani huko Marekani, Canada na Mexico sasa meno yote nje kutokana na kiasi kikubwa cha...
Winga Super Eagles astaafu soka NYOTA aliyecheza mechi nyingi zaidi katika historia ya timu ya taifa ya Nigeria, Ahmed Musa ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Stars yaenda Morocco kwa matumaini KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kimeagwa rasmi jana kabla ya kuanza safari ya kwenda Morocco katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoanza Jumapili, Tanzania...
Mastaa 21 matatani Ligi Kuu England NYOTA wa Ligi Kuu England watakaofikisha kuonyeshwa kadi za njano tano katika mechi 19 za mwanzo za msimu watafungiwa kucheza mechi moja yaani ile ya 20, inaelezwa.
Newcastle yapewa Man City Carabao, Chelsea ikizisubiri Arsenal, Crystal Palace NEWCASTLE United itakabiliana na mabingwa mara nane wa Kombe la Carabao, Manchester City, katika hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo.
Roma, Man United hakijaeleweka kwa Joshua Zirkzee MANCHESTER United na AS Roma ziko mbali sana kufikia makubaliano ya dili la mshambuliaji raia wa Uholanzi, Joshua Zirkzee, mwenye umri wa miaka 24.
Semenyo aichagua Liverpool, vigogo wengine bado wanamtaka LIVERPOOL inatajwa kuwa ndio timu iliyochaguliwa na mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya Ghana, Antoine Semenyo licha ya klabu nyingine za Ligi Kuu England zikiwemo Tottenham, Arsenal...