Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9723 results for Mwandishi :

  1. Kilimanjaro FF yashika nafasi ya tatu Ligi Daraja la Sita Sweden

    TIMU ya Kilimanjaro FF inayomilikiwa na kuendeshwa na Watanzania waishio nchini Sweden, imeshika nafasi ya tatu katika Ligi ya Daraja la Sita kwenye Jiji la Stockholm katika msimu wa 2024-2025...

    KILIMANJARO Pict
  2. FIFA yatangaza mashindano mapya Kusini-Mashariki mwa Asia

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametangaza kuanzishwa kwa mashindano mapya ya kandanda ya kanda yatakayohusisha nchi zote 11 za Kusini-Mashariki mwa Asia.

    FIFA Pict
  3. Vitendo vya Carvajal, Lamine vyamchukiza De Jong

    Kiungo wa Barcelona Frenkie de Jong amemkosoa beki wa pembeni wa Real Madrid, Dani Carvajal, kufuatia kitendo chake cha kumchokoza Lamine Yamal, baada ya mechi ya El Clasico jana Jumapili, Oktoba...

    DE Jong Pict
  4. Carragher: Liverpool? Haya ni majanga

    BEKI wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amekiri klabu yake hiyo ya zamani ipo kwenye kipindi kigumu baada ya kupoteza mechi nne mfululizo Ligi Kuu England na hivyo kuachwa pointi kibao na...

    LIVERPOOL Pict
  5. JKT Queens yapangwa na TP Mazembe Ligi ya Mabingwa Wanawake

    Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake 2025, JKT Queens, imepangwa Kundi B kwenye mashindano hayo baada ya leo Jumatatu Oktoba 27, 2025 kufanyika droo ya makundi hayo...

  6. Arteta kawa mbogo, awajibu Gary Neville, Jamie Carragher

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amepuuza madai ya wachambuzi waliosema kuwa Arsenal inacheza kwa kusita sita na kusisitiza kwamba falsafa yake ndiyo inayozalisha mashambulizi zaidi katika soka la...

  7. Majeruhi Liverpool, Slot kichwa kinauma

    BAADA ya beki chipukizi Giovanni Leoni kupatwa na majeraha katika mechi ya mashindano ya Carabao dhidi ya Southampton, kocha wa Liverpool, Arne Slot sasa kichwa kinauma.

  8. Jeraha la Palmer tatizo Chelsea

    CHELSEA ipo katika njia panda kuhusu mbinu gani katika kutibu tatizo la nyonga la staa wao Cole Palmer, ambaye kuna njia nyingi ikiwamo upasuaji.

  9. Mjipange! Spurs ikinunuliwa tu, vyuma vinatua

    TOTTENHAM huenda ikashusha mastaa wakubwa na kujenga timu imara ikiwa mpango wa kununuliwa na moja kati ya kampuni za Marekani utakamilika.

    SPURS Pict
  10. Cole Palmer nje wiki mbili

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amethibitisha staa wa timu hiyo, Cole Palmer atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili hadi tatu.

    COLE
Previous

Page 253 of 973

Next