Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

345 results for Mwandishi Maalumu :

  1. Mambo saba yaliyomng'oa Barbara Simba

    MASHABIKI wa Simba bado wapo njia panda baada ya Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez kutangaza ghafla kujiuzulu, huku kukiwa na tetesi za chinichini kwamba mambo sio mambo Msimbazi.

  2. RIPOTI MAALUMU: Kituko cha mipira mitatu Ligi Kuu

    BODI ya Ligi Tanzania (TPLB), imekuwa ikiboresha vitu mbalimbali ili kupata michezo yenye ushindani bila ya kujali inachezwa kwenye viwanja gani au timu zipi zinazokutana wakati huo.

  3. MUBIRU: Kocha wa mataji anayezitaka Simba, Yanga

    PAMOJA na kutozungumzwa sana, lakini Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mubiru Abdallah ni miongoni mwa makocha wenye uwezo na ubora katika kufundisha soka kwa mbinu zenye manufaa.

  4. Bosi mpya Yanga aanza na Al Hilal

    Mtine ameanza kushusha hesabu zote zitakazoisadia Yanga kuwashangaza matajiri hao wa Sudan, ikiwemno mikakati ya kocha wa timu hiyo Florent Ibenge ambaye ni raia wa DR Congo.

  5. NIONAVYO: Unauza bunduki, kununua fimbo

    Wikendi iliyopita Taifa Stars ilitolewa na Uganda ‘The Cranes’ katika mchezo wa kufuzu kwa mashindano ya Afrika wanaocheza kwenye ligi za ndani ya nchi zao (CHAN) kwa jumla ya mabao 4-0.

  6. Wametisha, makocha watano waliokaa Simba

    SIMBA imeachana na Kocha Zoran Maki akiwa amekaa klabuni hapo kwa siku 67 tangu alipoajiriwa rasmi Julai 1 na kufutwa kazi Septemba 6 mwaka huu.

  7. Yanga mafia yaajiri shushushu kuwasoma Waarabu

    KIKOSI cha Yanga kipo jijini Dar es Salaam kikiendelea na maandalizi ya michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini akili zote zikiwa juu ya mechi inayofuata ya...

  8. Simba yatesti mitambo ya CAF

    VINARA wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba jioni ya leo watatesti mitambo ya CAF, itakapovaana na Asante Kotoko ya Ghana kwenye mechi ya michuano...

  9. Azam balaa zito Misri

    Gouna, lakini mji huo hauna uwanja mkubwa wa ndege hasa za kimataifa. Kuna kauwanja kadogo kwa ajili ya ndege binafsi, hivyo hutumia uwanja wa mji wa karibu wa Hurghada. Ndege waliyopanda Azam FC...

  10. Nondo za makungwi wanne kwa Nandy

    Kila walipokuwa wakipiga hatua katika uhusiano wao ikiwamo walivyovishana pete kwa mara ya kwanza, wengi walisema ni kiki.

Previous

Page 25 of 35

Next