Enzo Fernandez akili yote inawaza PSG ENZO Fernandez anafikiria kwa makini mustakabali wake Chelsea na huenda akawashangaza wengi kwa kuachana na miamba hiyo.
Jurgen Klopp anataka timu mbili tu HABARI ndo hiyo. Jurgen Klopp yuko tayari kurejea kwenye ukocha endapo tu atapata mojawapo ya nafasi mbili; kuinoa Real Madrid au timu ya taifa ya Ujerumani.
Zubimendi azidi kumvuruga Arteta MIKEL Arteta mara chache hukosa maneno, lakini anaishiwa na la kusema kuhusu Martin Zubimendi.
Waziri Mkuu kunogesha tamasha la Wabunge Simba, Yanga WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba anatarajia kunogesha tamasha litakalowakutanisha watumishi wa Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wanaoshabikia klabu za Yanga na Simba akiwa mgeni...
Mashujaa yaifuata Yanga kwa akili mpya KIKOSI cha Mashujaa FC tayari kimeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya watetezi ikiwa na akili nyingine kabisa na kocha wa timu hiyo Salum Mayanga...
AFCON 2025: Ni fainali ya fahari wawili MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imefikia patamu na Jumapili mashabiki wanatarajia kushuhudia fainali ya aina yake baina ya wenyeji Morocco dhidi na mabingwa wa 2021, Senegal...
Martinelli aingia anga za Madrid, bei yatajwa RIPOTI zinafichua Real Madrid imeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Martinelli, katika harakati za kuboresha safu yao ya ushambuliaji, inaelezwa.