ASANTENI WADAU, ILIKUWA SAFARI POA! kuuzwa Kanda ya Pwani ambapo nakumbuka kuna wakati idadi ya mauzo ilipanda hadi nakala 14,000 kwa kila toleo, likaenezwa kote nchini ambapo lilipokewa vizuri. Kuna mengi ambayo sitaweza kuyataja...
KISIWA CHA MAUTI – Sehemu ya 3 kwenye kochi karibu yake kabla sijamjua kama alikuwa ndiye Kabwe mwenyewe. “Habari gani?” nikamsalimia baada ya kuketi. “Nzuri. Ndiye wewe uliyekuwa unaniulizia?” Hapo nikatambua kuwa kijana huyo...
SOMOE NG’ITU: Ndoto ilianzia kuwa rubani hadi ubosi soka la wanawake KUNA wanawake wanaosubiri bahati na kuna wanaoijenga kwa mikono yao kwa kuthubutu kuandika hatima zao upya pale ndoto zinapobadili mwelekeo.
PRIME Ghafla nimemkumbuka Mino Raiola, kiboko ya hofu zetu kuwavuruga. Nashangaa sasa hivi anayetamba katika masuala ya uhamisho wa wachezaji ni mtu anayeitwa Fabrizio Romano ambaye ni mwandishi wa habari. Zamani, kabla umauti haujamkumba, Mino...
TUONGEE KISHKAJI: Wanamuziki wanaoandika sana wanahitaji huruma yetu ninaowapenda wanajua sana kuandika na binafsi nadhani kwenye uandaaji wa muziki, uandishi ni kitu kigumu zaidi ya vyote. Hata hivyo, nyimbo zilizoandikwa sana mara nyingi huhitaji umakini kwenye...
UCHAMBUZI: Bernard Morrison, ‘Mtanzania’ aliyezaliwa Ghana “BUSHA, busha,” alisema Bernard Morrison akimwambia mwandishi wa habari aliyehoji kuhusu staili yake ya kushangilia baada ya kufunga mabao mawili katika pambano kati ya Simba dhidi ya Al...
JICHO LA MWEWE: Lamine kagundua tunaendesha ligi yetu kisela LAMINE Moro kaniacha hoi wiki iliyopita. Kasafari mwendo wa hatua 30 kutoka katika eneo lake la ulinzi na kwenda kumpiga teke kiungo staa wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto katika ugomvi ambao...
NYUMA YA PAZIA: Wazza na maneno ya hekima ya Mignon >“ WOTE tunazaliwa mashujaa, waaminifu na walafi, lakini mwisho wa yote wengi wetu tunabakia kuwa walafi tu.”Maneno haya aliwahi kuyasema mwandishi maarufu wa kike wa Marekani, Mignon...
Buriani Epaphra Amana Swai NI majonzi. Si kwa wale tu waliowahi kufanya kazi na Epaphra Amana Swai (57), bali kwa familia na wadau wa soka nchini.
Thiago kuumia kuliitesa Bayern, baba yake TOLEO lililopita kwenye Pep Confidential, mwandishi Marti Perarnau alizungumzia mabadiliko ya mambo katika Bayern huku baadhi ya makocha wakija na mikakati ya kudhibiti mbinu za Pep...