Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Nabi aishangaa Simba kumtimua Pablo

    KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amewarudisha mastaa wake wote ambao hawajaitwa timu za taifa na kuwapeleka gym kujifua kwa muda wa siku nne, ili kujiweka tayari kwa mechi yao ya Ligi Kuu dhidi ya...

  2. Kumekucha huko...Simba kushusha Msauzi, Mcameroon

    MABOSI wa Simba wameitana ghafla jijini Dar es Salaam na kufanya kikao kizito ikiwa ni saa chache tangu wamfurushe aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco na kuazimia kushusha mashine...

  3. Pablo afunguka kilichomng'oa Simba, awataja mastaa

    KOCHA aliyepigwa chini na Simba juzi, Pablo Franco amefunguka kwa mara ya kwanza sababu zilizomsababisha apoteze kazi. Pablo ambaye anarudi kwao Hispania wiki ijayo amesema kitendo cha kushindwa...

  4. Simba, Yanga nani zaidi?

    MIAMBA ya soka la Tanzania Simba na Yanga, imeingia makubaliano na Azam Media, Azam Pay na Agrinfo kwa kuendesha shindano la 'Nani zaidi' kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo mbili kubwa...

  5. Bwalya atimka Simba

    Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungo wa Simba, Rally Bwalya ameshamwaga wino wa kujiunga na klabu ya Amazulu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, lakini uongozi wa Wekundu wa Msimbazi umesema umepokea...

  6. Azam FC yaipora beki Simba

    SIMBA inataka kujipanga upya kwa kusajili majembe ya maana, lakini wakati ikitafakari namna ilivyojikwaa hadi kutema mataji yake yote mawili makubwa, imepigwa kanzu katika mbio za kuiwania saini...

  7. Simba ile, Yanga hii...

    MABINGWA watetezi wa kombe la Shirikisho (ASFC), watakuwa na kibarua kigumu Jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza dhidi ya watani zao Yanga kwenye mechi ya nusu fainali ya mashindano...

  8. Pablo: Kuna sapraizi inakuja Mwanza

    KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema mara nyingi mechi za dabi wanayocheza suala la rekodi linakuwa halina nafasi, mambo mengi huwa ni sapraizi ya hapo kwa hapo lakini wanajiandaa kupata ushindi.

  9. Simba inaanza na staa huyu

    MABOSI wa Simba wapo sokoni kutafuta nyota wapya watakaowasajili dirisha la usajili litakapofunguliwa ili kuongeza makali ya kikosi hicho msimu ujao kutimiza lengo lao la kufuzu nusu fainali ya...

  10. Chama aiwahi Yanga Kirumba

    BAADA ya kupata sare kwenye mechi iliyopita dhidi ya Azam, kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba kitaondoka Dar es Salaam jioni ya leo kwenda Mwanza kwa ajili ya mchezo na Geita...

Previous

Page 24 of 89

Next