Semenyo ameshafanya uamuzi anakwenda wapi WINGA, Antoine Semenyo ameshafanya uamuzi kwamba atakwenda kujiunga na Manchester City katika dirisha la usajili la Januari.
Mahrez aanza kwa moto Afcon 2025 MABAO mawili ya Riyad Mahrez yalitosha kwa Algeria kupata ushindi wa kibabe dhidi ya Sudan iliyocheza na wachezaji 10 uwanjani katika mechi yao ya kwanza ya Kundi E la mashindano ya Afcon 2025...
Maresca anajifanya haitaki Man City KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema haondolewi kwenye mfumo kutokana na kuhusishwa na kibarua cha kwenda kuinoa Manchester City kurithi mikoba ya Pep Guardiola wakati atakapoondoka.
Kumbe Mo Salah ameomba radhi KIUNGO wa Liverpool, Curtis Jones amethibitisha Mohamed Salah amewaomba radhi wachezaji wenzake wa Liverpool kutokana na matamko yake aliyotoa mwanzoni mwa mwezi huu.
Arteta: Gyokeres? Wenzake ndo shida KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amemtetea straika Viktor Gyokeres kwa kiwango chake alichokionyesha dhidi ya Wolves na badala yake amewaangushia mzigo mastaa wenzake katika kikosi hicho cha Emirates.
Mashabiki Simba, Yanga kuonyeshana umwamba Mashabiki wa Simba na Yanga watacheza mechi ya kirafiki, Jumapili, Desemba 21, 2025 kwa lengo la kuhamasisha upendo na umoja baina yao.
Ben White atibua hesabu za Arteta Beki wa Arsenal, Ben White atakuwa nje ya uwanja kwa muda usiopungua mwezi mmoja baada ya kupata maumivu ya misuli.
Alonso ajiingiza kesi ya Barca KOCHA wa Real Madrid, Xabi Alonso amemtaka rais wa miamba hiyo Florentino Perez kutafuta haki baada ya kuwapo na kashfa ya rushwa inayowahusisha mahasimu wao wakuu kwenye La Liga, Barcelona.
Aubameyang kukosa moja AFCON 2025 MSHAMBULIAJI mkongwe Pierre-Emerick Aubameyang ataukosa mchezo wa kwanza wa Gabon katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) litakaloanza wikiendi hii lakini anatarajiwa kupona jeraha la paja na...
Uganda yawahi mapema Morocco WAPINZANI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 Uganda The Cranes wamewahi mapema Morocco karibu siku 11 kabla ya kuanza kwa fainali hizo Jumapili hii.