Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9692 results for Mwandishi :

  1. Cole Palmer achoshwa na maisha ya Chelsea

    STAA wa Chelsea, Cole Palmer, anadaiwa kukata tamaa juu ya maisha yake katika viunga vya Stamford Bridge na anaonekana kuwa tayari kuondoka mwisho wa msimu huu.

    PALMER Pict
  2. Kisa Salah, mastaa kibao watajwa Liverpool

    LIVERPOOL ipo katika mchakato wa kuboresha safu ya ushambuliaji kwa kusajili washambuliaji wawili wapya kwenye dirisha lijalo la usajili wa kiangazi ambao pia wataziba pengo la Mohamed Salah...

    MASTAA Pict
  3. Serikali kuanzisha Ligi ya wazawa tu, Makonda ataja sababu

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa Ligi ya Soka ambayo itahusisha wachezaji wazawa tu.

  4. Ujerumani yamtibulia Otto Addo, atimua Black Stars

    SHIRIKISHO la Soka la Ghana (GFA), limemuachisha kazi kocha mkuu, Otto Addo, ikiwa ni miezi mitatu tu kabla ya fainali za Kombe la Dunia 2026, likiiacha Black Stars katika hali ya sintofahamu...

    ADDO Pict
  5. Majanga! Uzi mpya Barca msimu ujao wavuja

    JEZI mpya zinazotarajiwa kuvaliwa na Barcelona msimu ujao zinadaiwa kuvunja mapema na kuibua hofu kuwa huenda tayari zimeshayafikia magenge ya kimafia yanayoweza kuanza kuzitengeneza na...

    BARCA Pict
  6. Cristiano Ronaldo arejea mazoezini Al Nassr

    SUPASTAA wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameonekana akipiga tizi ikiwa ni mazoezi yake ya kwanza tangu alipoondoka katika tiba ya misuli baada ya kuumia na kuibua tabasamu wa nchi yake...

    RONALDO Pict
  7. Haaland aibuka mfungaji Bora kufuzu Kombe la Dunia

    Mshambuliaji wa Norway, Erling Haaland, amemaliza hatua ya makundi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 barani Ulaya akiwa kinara wa mabao, baada ya kufunga jumla ya mabao 16 na kuisaidia nchi yake...

  8. Guardiola kuamua hatma yake Jumapili Carabao Cup

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola atafanya uamuzi kuhusu mustakabali wake baada ya fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Arsenal, Jumapili ya wiki hii.

  9. Arteta awachana wachezaji Arsenal

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewaambia wachezaji wake lazima wajifunze na kukabiliana na vipindi vigumu kuendana na hali ngumu vinginevyo watajikuta wakimaliza msimu bila taji.

    ARTETA Pict
  10. Raia nusura wamuue mkongwe kwa ujambazi

    MCHEZAJI maarufu wa zamani wa Ecuador, Christian Lara, amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika katika jaribio la ujambazi wa kutumia silaha, na kushambuliwa na wananchi waliokuwa jirani na eneo...

    RAIA Pict
Previous

Page 223 of 970

Next