Zamu ya Kibu Denis kusepa Simba, Waarabu wamwaga mpunga Muda wowote kuanzia sasa, Simba itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji Kibu Denis kwenda Al Nasr ya Libya.
Guardiola awatishia nyau Arsenal PEP Guardiola ameapa kuwa Manchester City itaendelea ‘kupumua shingoni mwa Arsenal’ baada ya ushindi wao wa kushangaza wa dakika za mwishoni dhidi ya Liverpool uwanjani Anfield, Jumapili.
Owen Hargreaves: Viungo watatu ni dawa Man United OWEN Hargreaves amesema Michael Carrick hatimaye ametatua tatizo la kiungo la Manchester United, akimsifu Bruno Fernandes kwa kiwango cha ajabu alichokiita ni cha kushtua kabisa.
Rooney: Arteta? Kibarua kigumu GWIJI wa Ligi Kuu England, Wayne Rooney anaamini Mikel Arteta anaweza kufukuzwa kazi iwapo hatafanikiwa kushinda taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Virgil van Dijk amtetea Slot BEKI wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk amesimama kidete kumlinda kocha anayekosolewa, Arne Slot, akisisitiza licha ya msimu mgumu, Mdachi huyo anastahili kupewa nafasi ya kurejesha mwelekeo.
Duh! Partey apewa kesi mpya ya kubaka KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Thomas Partey, amefunguliwa mashtaka mengine ya ubakaji.
Mabosi wapya BD Februari 22 MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD), Okare Emesu, amesema chama hicho kinatarajia kupata viongozi wapya kupitia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
Haaland bado anaumwa, Arsenal kicheko KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amekiri kuwa Erling Haaland hayuko fiti kwa asilimia 100 baada ya kutoonekana uwanjani katika mechi ya Kombe la FA dhidi ya Salford.
Caicedo ni pengo kubwa Chelsea CHELSEA iliweza kupambana jino kwa jino na vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal baada ya kumpoteza kiungo Moises Caicedo, lakini ilikuja kuonyesha kiwango cha hovyo dhidi ya timu inayopambana...