Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

687 results for Victoria Melkiad :

  1. Tabora United mdaka mishale kutoka Gabon

    MUDA wowote Tabora United inaweza kumtangaza kipa raia wa Gabon, Jean Noel Amonome baada ya kukamilika ishu ya makubaliano ya mkataba.

  2. PRIME Dili la Simba lakwama Uganda

    KAMA ulidhani ilimpozuia straika Cesar Lobi Manzoki misimu miwili iliyopita ilitokea kwa bahati mbaya, basi umekosea kwani klabu ya Vipers imeendelea kuibania Simba.

    Okelo Pict
  3. PRIME Ngoma akirudi tu anasaini

    KIKOSI cha Simba usiku wa leo kitashuka uwanjani jijini Luanda, Angola kupepetana na Bravos do Maquis, lakini taarifa njema kwa mashabiki wa klabu hiyo ni uamuzi wa mabosi wa klabu hiyo kuamua...

  4. PRIME Winga mpya Yanga apewa miwili

    YANGA ipo Mauritania ambapo kuanzia saa 4:00 usiku leo Jumapili itashuka uwanjani kumalizana na Al Hilal ya Sudan katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mapema mabosi wa klabu hiyo...

  5. AS Vita yabeba kiungo wa Coastal

    AS Vita ya DR Congo imeendelea na operesheni ya kukusanya mastaa kutoka Bara baada ya kumnasa winga wa zamani wa Coastal Union, Dennis Modzaka.

  6. Pamba yaleta beki la TP Mazembe

    PAMBA Jiji ipo katika hatua za mwisho kumalizana na beki wa zamani TP Mazembe, Chongo Kabaso raia wa Zambia kuja kuimarisha safu yake ya ulinzi.

    Pamba Pict
  7. PRIME Faili zima la winga mpya Mcongo wa Yanga hili hapa

    WAKATI mabosi wa Yanga wakiwa mezani kumalizana na mshambuliaji anayemudu kucheza kama winga, Jonathan Ikangalombo, kocha wa zamani wa AS Vita anayotoka nyota huyo wa DR Congo, amefunguka juu ya...

  8. PRIME Chama karudi, taabu iko palepale

    Chama, aliyetua Jangwani msimu huu akitokea Simba, alikosekana katika mechi tano zilizopita ikiwamo moja ya kimataifa dhidi ya Mazembe, Yanga iliposhinda 3-1 na akizikosa nne za Ligi Kuu, huku...

  9. Dili la Maabad lapinduka jioooni!

    LILE dili la mshambuliaji nyota wa Coastal Union, Maabad Maulid aliyepo kikosi cha timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) inayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 kutaka kutua...

    Maabad Pict
  10. PRIME Mastaa Yanga wawekewa mzigo wa maana mezani ikifuzu robo fainali CAFCL

    HESABU za Yanga hivi sasa ni kushinda mechi zao mbili zijazo za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal (ugenini) na MC Alger (nyumbani) ili wafuzu robo fainali ya michuano hiyo.

Previous

Page 21 of 69

Next