MJUAJI: Hii ndio Simba ya 1993 na maajabu yake Simba pale Zanzibar ilikuwa bize kila siku viongozi wa serikali walitembelea huku kila mmoja akitoa ahadi lengo ni kuwahamasisha wachezaji wafanye vizuri. MATUMAINI MAKUBWA Novemba 13 siku ya...
MTU WA MPIRA: Ni kweli Simba ni hasara kwa Mo Dewji? TUMESIKIA mara nyingi. Tumesikia tena hapa majuzi kauli ya bilionea na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ akilalamika. MO Dewji amekuwa akisema kila siku akitokea hadharani...
Wadau wakubali... Simba, Yanga ni bab'kubwa! ZIMETUHESHIMISHA. Ni baadhi ya kauli za wadau wa soka nchini walioshiriki mjadala maalumu kutokana na Simba na Yanga kutinga robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la...
MZEE WA UPUPU: Simba sawa, lakini Pamba inaongoza Bara Kimataifa MAADA ya ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya, meneja wa habari wa Simba, Ahmed Ally, alitania mbele ya waandishi wa habari kwamba ushindi wao ni mkubwa kwenye mashindano ya CAF, ukifuatiwa na...
MTU WA MPIRA: Taifa Stars bila Tshabalala na Kapombe ni kichekesho kingine KUNA nyakati vitu vinatokea na kushtua sana. Ni kama hiki kilichotokea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ majuzi. Ni kichekesho kwelikweli. Taifa Stars inakwenda kwenye...
MZEE WA UPUPU: Mkasa wa Lineker na unafiki wa wazungu mkono na lingine la uwezo wa hali ya juu, Lineker alifunga bao moja na mechi kuisha 2-1. Nyota huyo baada ya kustaafu soka aligeukia kwenye habari na akawa mtangazaji wa runinga mbalimbali nchini...
MTU WA MPIRA: Tunashindwa kusema ukweli kuhusu Nabi WATU wa soka nchi hii ni wataalamu wa majungu na mizengwe. Wanapenda zaidi kuona mabaya kuliko mema. Ndio maana ni rahisi zaidi kwa habari mbaya nchini kutembea kuliko nzuri. Watu wanapenda...
Diamond angekuwa Oliver Mtukudzi angemwimbia Neria! , aliimba kwa lugha rasmi za taifa lake, Kishona, Ndebele na hata Kiingereza, huku akiupa muziki wake mtindo wa kipekee unaojulikana kama Tuku. Miongoni mwa nyimbo maarufu za Mtukudzi duniani ni...
MZEE WA UPUPU: Swali linarudi kwako sasa Mwana FA, ingekuwa vipi isingekuwepo Februari NAJARIBU kujenga tafakuri kupitia uteuzi wa Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ kwa kulinganisha na utunzi wake wa ‘Ingekuwa Vipi’ wa mwaka 2002. Matukio yote haya mawili, kutoa wimbo na kuteuliwa...
MTU WA MPIRA: Simba hii itatia aibu mashindano ya CAF Super Cup NIMEITAZAMA Simba inavyocheza katika mechi kubwa. Nimeitazama tena na tena. Ukweli ni kwamba Simba iko ‘unga’. Timu imechoka sana. Simba hii imeshuka sana ubora kulinganisha na ile ya miaka...