Sare yamchefua kocha TZ Prisons, Ngassa atuliza presha
SARE ya bao 1-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Tabora jioni hii kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini hapa, imeonekana kumtibua kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah, akiiwakia safu ya ushambuliaji.