Search

1131 results for Olipa Assa :

  1. Fei: Nilimuagiza Ninja ahamishe vitu vyangu Yanga

    Baada ya beki wa kati wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu 'Ninja' kuzungumzia kuhusika kuvihamisha vitu vya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' katika klabu...

  2. Yanga ilivyomlaza njaa Kingwendu

    Mchekeshaji mkongwe nchini, Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' ni Yanga lialia na kitendo cha timu hiyo kuifunga Simba ndani, nje msimu huu katika Ligi Kuu Bara kimemfanya asahau shida zake na kuupa...

  3. Pawasa alitabiri Simba inakufa 2-1 Kariakoo dabi

    BEKI wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa, alipatia utabiri kwamba Yanga itashinda mechi ya Kariakoo Dabi ya jana kwa mabao 2-1. Kabla ya mechi ya Kariakoo Dabi kupigwa jana Jumamosi Aprili 20...

  4. Neema ya Kariakoo Dabi kiuchumi

    Achana na burudani wanayopata mashabiki wa soka nchini inapokuja Dabi ya Kariakoo, lakini ukweli, pambano hilo la watani wa jadi nchini, limekuwa na neema kubwa kwa wachuuzi na wafanyabiashara...

  5. Wakongwe: Ni Dabi ya suluhu au sare

    Mastaa waliowahi kuzichezea Simba na go Yanga wametoa utabiri wa mechi ya Kariakoo Dabi ya Ligi Kuu Bara inayopigwa kesho, Jumamosi, uwanjani Benjamin Mkapa, wengi wao wakiiona suluhu au...

  6. PRIME Mziki wa Mzize wakamata makocha

    Mashabiki majukwaani wanalia na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize lakini upande wa pili kwa makocha wanamwona mshambuliaji huyo kuwa ni bidhaa adimu kisha wakafunguka juu ya vitu vinavyompa...

  7. Simba kujichimbia hoteli ya kifahari

    SIMBA inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo alasiri, ikitokea Zanzibar ambako iliweka kambi ya siku tatu, kujiandaa na Kariakoo Dabi dhidi ya mtani wake Yanga, itakayopigwa kesho kuanzia saa...

  8. Machupa atoa neno Kariakoo Dabi

    Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Athuman Machupa, ameizungumzia Kariakoo Dabi ya Aprili 20, anaiona itaamuliwa na ukomavu na mbinu za mastaa na makocha wa klabu hizo kongwe.

  9. Baba Sure Boy auweka mpira kati Kariakoo Dabi

    Abubakar Salum 'Sure Boy Sr' ambaye ni baba mzazi wa kiungo wa Yanga, Salum Abubakar 'Sure Boy', amesema Kariakoo Dabi haijawahi kutabirika, haijalishi ni timu gani inakuwa kwenye kiwango kizuri...

  10. Nani zaidi ya Pacome, Chama gwiji aingilia

    "Sina maana mbaya kwamba Chama ni mbaya, ila mpira ukiwa kwa mpinzani ni ngumu kuunyang'anya, hatumii nguvu, ila anaweza akapiga ambapo hukutarajia, ukidhani anatoa pasi kumbe anafunga mwenyewe."

Previous

Page 3 of 114

Next