PRIME FOREMAN: Bondia aliyetajirika baada ya ngumi DUNIA imepoteza mmoja wa mabingwa wa ngumi waliokuwa na umaarufu mkubwa zaidi, George Foreman, ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
PRIME Ifahamu Suruali inayotibu misuli wachezaji SI habari nzuri kabisa kuzisikia. Una mechi muhimu, kisha unasikia timu yako itamkosa mchezaji muhimu kabisa kwenye kipute hicho kwa sababu ya tatizo la misuli.
VIDEO: Soka lambeba beki Yanga, apandishwa cheo KMKM KIKOSI Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) kimempandisha cheo beki wa Yanga SC, Ibrahim Hamad "Ibra Bacca", kutoka Koplo hadi Sajenti. Hii ni kutokana na mchango wake mkubwa...
PRIME Karia anakaribia umakamu CAF Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na baraza la soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, Wallace Karia amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka (CAF).
PRIME Che Malone ashtua Simba SIMBA inashuka uwanjani leo kumalizana na Dodoma Jiji katika mchezo wa kiporo cha Ligi Kuu Bara, lakini ndani ya kambi ya Wekundu wa Msimbazi, kuna taarifa inayoshtua juu ya beki wa kati Che...
ATM YA WIKI: Heshima NBA imempa utajiri Jordan MOJA kati ya viatu maarufu duniani ni Air Jordan ambavyo vimebeba jina la mchezaji wa zamani wa kikapu wa Marekani Michael Jordan.
Buriani Doye Moke, nenda kipa wa boli KIFO kimeumbwa, lakini hakizoeleki. Kifo kinauma kwa vile kinatengenisha wapendanao. Na bahati mbaya ni kwamba kifo hakikwepekwi.
Kuondoa madudu Ligi Kuu, wadau wataka kampuni ya waamuzi WADAU mbalimbali wa soka nchini wamegawanyika kuhusu makosa yanayojirudia ya waamuzi wa Ligi Kuu Bara, baadhi wakitaka iundwe kampuni itakayowasimamia, huku wengine wakisema hiyo sio dawa kwani...
Alexander Isak ajadiliwa atabaki, habaki HATIMA ya straika Alexander Isak kwenye kikosi cha Newcastle United itategemea majaliwa ya timu hiyo kama itafuzu kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
PRIME RIPOTI MAALUM-1: Anayewafelisha wanamichezo Bongo ni huyu UMEWAHI kujiuliza ni kipi hasa kinawafanya wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri hasa mashindano ya kimataifa? Weka kando mchezo wa mpira wa miguu ambao unatajwa kuwa ndiyo unapendwa...